Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
Habari ya mchana mwali, hope all is good with you...😊
Naomba tuzungumze nje ya hapa kama hauto jali..😉
 
Hawana ujasiri lakini watu wanaliwa kama hawana akili nzuri

rikiboy anakwambia wanakula kimasihara
Vijana hawajui kwamba wanawake walio pevuka awahangaiki na mwanaume who is thinking by is heart, na badala yake they need mam who is thinking by his head.
So, mwanaume anae think with his head yupo very smarter than the one who is thinking by his heart.
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.

Maisha yamebadilika mkuu.
Hawa vijana wakiume wanapitia matatizo mengi sana ukilinganisha na zama zetu sisi wahenga.

Itabidi muishi nao hivyo hivyo.

Sitegemei uzi huu kutoka kwa binti mdogo ambae ana deal na wanaume wadogo kama yeye.

1.Now days mashangazi wana date na wanaume wadogo na bado wanataka hao vijana wawape vibe la mwanaume mkomavu kweli?

Hapana mkuu katika hili nitawapambania vijana wangu.

2.wanawake wamesha take over.
Wadada wengi wapo vizuri kiuchumi(ni jambo zuri)
Tatizo linakuja pale tu wanapo act masculine .
Unahitaji kuwa na dragon balls kudeal na modern women.

3.ku-act weak kuna lipa sana
Now days wanaume wanashindana na wanawake katika nyanja zote .
Kwenye urembo pia.
Sasa wanaume hawa ambao wanatafuta like na complements unategemea nin hapo.
Angalia mindset za wasanii wa
bongo flavor "kwamba anakuwa hana pesa wala hana purpose in life , kitu pekee anachomiliki ni utanashati unaomfanya apendwe na demu wa kishua ambae ata change maisha yake" nyimbo za namna hii zinapendwa sana

Sasa wadogo zetu hawa kwann wasisubir kupendwa na wanawake?
Kwann wajiangaishe kujieleza kwa wanawake ambao sometimes unakuta ni wake za watu.
 
Ndo maana kikubwa ilimradi kuchovya,,,,,,uhangaike kutongoza wakati sehem nyingine za kutoa upwiru zipo na mtu mwenyewe unajua huna mipango nae ya muda mrefu
Mawazo yenu hayo ndo yanafanya nao watangulize pesa..
Mtajua wenyewe
 
Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kuwa nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii.

Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara.
Tushajua mnachoangalia ni pesa na kikawaida anaeanza kumueleza mwenzake hitaji lake uyo ndio anajiweka upande dhaifu kwenye mahusiano yaani ndie atatakiwa kutumia nguvu kubwa ili mahusiano yaendelee kuwepo. Tuendelee kuviziana tu ivyo ivyo atakaeanza kufunguka ajue atawajibika kubeba maintance costs zote za mahusiano.
 
Poleni aisee.
Lakini nlichojua mnaogopa kukataliwa.feeling yake ikoje baada ya Hilo jibu?
Mim binafsi wakati naanza ilikuwa inanisumbua ila saiv naona kawaida tu.
Najisemea mwenyewe Kila mtu ana hisia zake na si lazima hisia za kila mtu zije kwako .
Ukimkuta mwanamke ambae tayari ana mahusiano na ukute huyo mwanaume anampenda balaa usiombe huaga wanajumlishaga na matusi dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole
 
Mwanaume huruhusiwi kujieleza kwa mwanamke , unachotakiwa mwanaume ni kukaa kitaalamu alafu unajilia vitu vizuri polepole akijileta wewe kula tuu kimasihara mpaka akajiulize ilikuajekuaje hadi akaliwa
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
Zamani walikua wanatafutiwa na baba zao, bora sisi vijana wa sasa hivi tunajitosa kuwanasa
 
Unaeleza hisia zako baada ya masaa machache,mtu anakuwa anadaiwa kodi,kioo cha simu kimevunjika anataka simu mpya,Anaumwa,anasikia njaa,viatu vyake vimeharibika, kila siku hana bundle.Hapo bado hajakuambia pesha zake za vikoba na mchezo ambao ana majina matatu, ndio maana sometimes tunakulaga buyu ili kuepusha stress husizo plan.
Nmecheka sana, kwamba matatizo yanaibuka buuu😝
 
Back
Top Bottom