Financial
Senior Member
- May 15, 2021
- 180
- 469
Unaweza ukadhani watu wameacha kutongoza kwa kasi kumbe we ndio umri umeenda wameacha kukufuata wanataka young age 😅Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.
Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.
Ishukuruni technology.