Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

First of all ni nyie wanawake ku provide safe space ambayo mwanaume ataweza kujieleza without being shamed, or taken for granted, or called names. Yaani mwanaume asijisikie negative pale anapotaka kukueleza ya moyoni. Pili wanaume wenyewe wawe na confidence ya kuwa wazi sasa, kwamba na wao ni binadamu wana hisia, wafunguke
Sawa mkuu.hii Kwa watu wazima
Ila mateen wa siku hizi hawawezi
 
Wao ukiwaambia hivi wanakwambia yaani hata elfu tano tu nayo nikiomba ni tatizo. Wasichojua hata bakhressa na pesa zake zote vile akiwa anatongoza demu anaangalia namna mwanamke anaheshimu pesa zake na haleti nazo mazoea ya kutumia utadhani alisaidia zitafuta.


Mwanamke anayetumia pesa kama kiingilio cha mahusiano hana tofauti na kahaba.
Sio wote wanatanguliza pesa..naamini wapo waelewa huko nje
 
Sasa hapo lawama zipo wapi? Kiukweli mambo yamebadilika sana. Wanawake mnatuwekea wanaume vikwazo ambavyo vinatufanya kuwatafsiri kuwa ni viumbe ambao hamtaweza kuishi na sisi bila pesa.

Pesa ni kitu ambacho huwa kinakuja kwenye maisha kidogo kidogo na kinatakiwa kuheshimiwa sana kimatumizi, inayoingia itunzwe inayotumika isiwe kubwa au sawa na ile iliyoingia.

Wanawake hamziheshimu akiba zetu za pesa. Unakutana na mwanamke anakwambia utoe pesa zako ulizohifadhi mwaka mzima kwaajiri ya malengo yako makubwa, yeye anazitaka akatumie kwenye kufurahisha nafsi yake kwa vitu vya mpito, huyo mtu wewe utamuelewa hata kujibizana nae tu, si unapotea kimya kimya?
Humu jf wakisema tupange list ya watu wanaoweza kupanga hoja na kuzitetea top 3 yangu wewe humo

Kujadili na wewe mada moja pande tofauti inahitaji mtu ajipange
Unaniudhigi sometimes🤸
Zemanda
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
Hakuna Generation wanawake wanaliwa kama hii
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
Shida ni nyinyi wenyewe. Ukishatongozwa na kikaeleweka unaanza kupata matatizo muda huo huo.
Kodi inaisha
Unaibiwa iphone
Unapata mgonjwa ambaye inabidi usafiri ukamuone
Mjomba anameza shoka nk nk.
Sasa hawa vijana jobless ukishamtwisha furushi la madai kama hilo nguvu ya kuwa na wewe anaitoa wapi? Hata kutongoza wanaogopa
 
Back
Top Bottom