Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
tuonane wapi ili nielezee hisia zangu kwako live
njoo pm tupande
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
hii ni kweli
 
Umri wangu ukusaidie Nini wewe..
Mi nkiwa teenager nabanishwa ukutani [emoji4] huku naangaliwa face to face jamaa anaulizia jibu lake

We ukiambiwa ufanye hiyo una ujasiri?
Kipindi na deal na teenager kama wewe, nilikuwa nawatongozea ghetto. Inaanza shoo ya lazima, then mkishaondoka ndio mnanipaga majibu "Nimekubali, ila naomba usiniumize moyo wangu"

Imeisha hiyo.
 
Hawa wa siku hizi changamoto kwanza ukitongoza anakuona kama mshamba au fala fulani kwamba wewe unaendaje kuongea maneno matupu ukijua wazi kwamba mkono mtupu haulambwi.

Unachotakiwa kujua ni kuwa pesa ndio inahitajika, hawasemi ni kiasi gani ila wao wanachotaka ni kuona mwanaume anatoa kafara au kuweka rehani pesa zake ili kuwa na mwanamke. Sasa wanaume wa kisasa elimu wanayo kuhusu akili za wanawake so wamestukia mchezo.

Ukitaka mahusiano serious wewe kama mwanamke useme maana siwezi mimi mwanaume kukaza mishipa ya fahamu kutema maneno ya hisia kukuelezea ninavyojiskia moyoni halafu tukianza mahusiano wewe ndie una benefit kwa kutumia mali zangu huo upuuzi wanaume wamekataa.

Mwanamke akitaka mapenzi yeye ndie atongoze mwanaume otherwise atulie azeeke.
siku izi wanawake wameweka pesa kama kipaumbele nambari wani kwenye mahusiano!
 
Wanaume mmejikimbia halafu lawama mnawapa wanawake
Sasa hapo lawama zipo wapi? Kiukweli mambo yamebadilika sana. Wanawake mnatuwekea wanaume vikwazo ambavyo vinatufanya kuwatafsiri kuwa ni viumbe ambao hamtaweza kuishi na sisi bila pesa.

Pesa ni kitu ambacho huwa kinakuja kwenye maisha kidogo kidogo na kinatakiwa kuheshimiwa sana kimatumizi, inayoingia itunzwe inayotumika isiwe kubwa au sawa na ile iliyoingia.

Wanawake hamziheshimu akiba zetu za pesa. Unakutana na mwanamke anakwambia utoe pesa zako ulizohifadhi mwaka mzima kwaajiri ya malengo yako makubwa, yeye anazitaka akatumie kwenye kufurahisha nafsi yake kwa vitu vya mpito, huyo mtu wewe utamuelewa hata kujibizana nae tu, si unapotea kimya kimya?
 
Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kua nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii

Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara
Kwamba tape imegeuzwa sasa muda wa side B 🤣🤣
Sio kina sisi wote wafikiri venye twaogopaa
 
So wanaelezeaje?
Au ndo twende straight to the point tusipoteze mda...
First of all ni nyie wanawake ku provide safe space ambayo mwanaume ataweza kujieleza without being shamed, or taken for granted, or called names. Yaani mwanaume asijisikie negative pale anapotaka kukueleza ya moyoni. Pili wanaume wenyewe wawe na confidence ya kuwa wazi sasa, kwamba na wao ni binadamu wana hisia, wafunguke
 
Kipindi na deal na teenager kama wewe, nilikuwa nawatongozea ghetto. Inaanza shoo ya lazima, then mkishaondoka ndio mnanipaga majibu "Nimekubali, ila naomba usiniumize moyo wangu"

Imeisha hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hapo lawama zipo wapi? Kiukweli mambo yamebadilika sana. Wanawake mnatuwekea wanaume vikwazo ambavyo vinatufanya kuwatafsiri kuwa ni viumbe ambao hamtaweza kuishi na sisi bila pesa.

Pesa ni kitu ambacho huwa kinakuja kwenye maisha kidogo kidogo na kinatakiwa kuheshimiwa sana kimatumizi, inayoingia itunzwe inayotumika isiwe kubwa au sawa na ile iliyoingia.

Wanawake hamziheshimu akiba zetu za pesa. Unakutana na mwanamke anakwambia utoe pesa zako ulizohifadhi mwaka mzima kwaajiri ya malengo yako makubwa, yeye anazitaka akatumie kwenye kufurahisha nafsi yake kwa vitu vya mpito, huyo mtu wewe utamuelewa hata kujibizana nae tu, si unapotea kimya kimya?
Vijana wengi wanalipuka hivyo baadae wanastuka walikuwa wanalima mashamba ya watu
 
Kwamba huwezi kutofautisha mwenye shida ya kiofisi au biashara na yule anayelenga kukukula?
Umri wako tafadhali
Ni ngumu kujua kutokana na yatayotangulia kabla

Nasisitiza sio Kila anaekuomba namba ananuia mapenzi.
Japo wapo.ukishatoa no ndio utajua Nini kinachofatia
 
Ueleze hisia zako kwamba unanipenda ....hee?

Tufanye rehearsal?
[emoji23]
Wao ukiwaambia hivi wanakwambia yaani hata elfu tano tu nayo nikiomba ni tatizo. Wasichojua hata bakhressa na pesa zake zote vile akiwa anatongoza demu anaangalia namna mwanamke anaheshimu pesa zake na haleti nazo mazoea ya kutumia utadhani alisaidia zitafuta.

Mwanamke anayetumia pesa kama kiingilio cha mahusiano hana tofauti na kahaba.
 
Back
Top Bottom