Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
- Thread starter
- #141
Mi Nina huruma sijui ndo umri mkomavu..siombagi Hela Wala kutanguliza shida zangu..japo ninazo sanaSiku hizi nadra sana kukataliwa,, siku hizi tunaogopa kuliliwa shida,, tena kuna sehemu ukikataliwa unashukuru, wadada siku hizi hawakatai ila utajitoa mwenyewe tu
Ila naangalia upendo kwanza.baadae hata ukiyajua ukiamua kunisaidia fresh tu.usipoamua pia fresh tu.ilhali unajua nahitaji msaada
Kama nliweza kuishi nazo kabla hatujakutana,ntaweza pia hata tukiwa wote.siwezi kuyafanya Maisha yangu kuwa jukumu lako Kila shida nkubebeshe kisa umenipenda or tunakulana hapana.
Maana nawe hapo una shida zako,kwanini zangu nzifanye halali yako?mzigo wako?
Kama kusaidiana kupo tu,why mapema mno unaanza?
Vibinti vya siku hizi vinafeli.