pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Ujasiri wa kumuelezea mwanamke hisia unatoka wapi wakati mifuko mitupu ukimaliza tu kuchukua namba mizinga inaanza unadhani wanaume ni ma bogus sio tatizo wanawake mmeweka tamaa ya pesa mbele.Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.
Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.
Ishukuruni technology.