Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Sema kuna mwanaume unamtaka hafu unahisi kama anashindwa kufunguka…..
Nadhan hizo labda si shida zake inawezekana ye anakuchukulia we n dada ake!
Binafsi kama kiongozi wa wanaume hamna mwanaume muoga wa kutongoza wala kuongea!! Wanaume ni wajasiri kuliko kiumbe chochote kilichowai kuishi duniani
 
Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga
Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kua nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii

Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara
Ndio hivo

Na wanaogopa hasa kukataliwa.
Tena wengine hata Kwa njia ya Whatsapp tu hata sms hawana ujasiri
 
Wengi macho makavu sababu hakuna kipya ambacho hawakijui. Wameshapigwa chuma kadhaa hapo anakua na macho makavu kuona kama saizi ulonayo sio kama walizonazo akina john, juma, joseph alizopita nazo..!
 
Uko poa! Nimeku pm fungua PM hiyo! Uone ujasiri wa watu.
 
Siku hizi hatutongozi unajivutia tu maisha yanasonga
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sema ulichoniitia!!??!!
Unanipotezea mda wangu



Ukikutana na hivi unanyweaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe wasema
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…