Wanaume wabinafsi

wanaume sisi tuna upendo haujui tu πŸ˜‚ ila ukishatupa mbususu basi upendo unaisha sijui hata kwanini
 
Tafuta za kwako achana na za wanaume....

Sio Mimi ali sikika MWANAUME mmoja nyikani.....πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
#ASAP
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ soon
Mstaafu Mimi butua butua sana....mwaka Jana Nika staaafuu.............
Nakula pension nowπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Wakike ndio hata hamna sababu ya kupata marafiki wa hiyari wa kiume kwani mnaona ndio Jalala la kutupia mambo yenu yote,hata yasiyo ya lazima,ilimradi mpewe hela zao tu,hata kama Mnazo zenuπŸƒπŸƒ
 
Wakike ndio hata hamna sababu ya kupata marafiki wa hiyari wa kiume kwani mnaona ndio Jalala la kutupia mambo yenu yote,hata yasiyo ya lazima,ilimradi mpewe hela zao tu,hata kama Mnazo zenuπŸƒπŸƒ
Usiwe ivyo
 
Hao ni wanawake madume ya mbegu Hatuna hizo code

Ngoja nikwambie kitu kuna tofauti ya wanawake na mabinti hapo unazungumzia hawa mabinti vijana kila binti analishwa kwamba jamaa ndo amuhudumie kila kitu ndo maana vijana KUOA HATUTAKI [emoji1666]BORA TUOE MA SINGLE MAMA TU

Alisikika kijana mmoja Jana usiku kikaoni cha wanaume wa DAR na mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…