Wanaume wabinafsi

Wanaume wabinafsi

wanaume sisi tuna upendo haujui tu 😂 ila ukishatupa mbususu basi upendo unaisha sijui hata kwanini
 
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.

Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.

Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.

Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Tafuta za kwako achana na za wanaume....

Sio Mimi ali sikika MWANAUME mmoja nyikani.....🤓🤓🤓🤓
#ASAP
 
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.

Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.

Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.

Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Wakike ndio hata hamna sababu ya kupata marafiki wa hiyari wa kiume kwani mnaona ndio Jalala la kutupia mambo yenu yote,hata yasiyo ya lazima,ilimradi mpewe hela zao tu,hata kama Mnazo zenu🏃🏃
 
Usiwe ivyo
 
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.

Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.

Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.

Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Hao ni wanawake madume ya mbegu Hatuna hizo code

Ngoja nikwambie kitu kuna tofauti ya wanawake na mabinti hapo unazungumzia hawa mabinti vijana kila binti analishwa kwamba jamaa ndo amuhudumie kila kitu ndo maana vijana KUOA HATUTAKI [emoji1666]BORA TUOE MA SINGLE MAMA TU

Alisikika kijana mmoja Jana usiku kikaoni cha wanaume wa DAR na mkoani
 
Back
Top Bottom