Njoo kwangu Mamaa umepata mwanaume, Ninapakaa mafuta matacle na niko smart kila kona hata baba J yule wa mama J hanifikii..Acheni tujipendee wanaume wanaojua kupenda miili yao, wananukia, hata mkituchamba tu apenda starehe, mimi napenda mwanaume smart kila kona.
Ova.
Sawa ,ila umemuona yeye ndiyo maana umekuja kupumulia jeifu mwambie tu ukweli hata kuacha, anakulavu sanaMimi nawaambia wachafu wote, kuna nyuzi imo humu inauliza eti ni sawa mwanaume kunywa juisi kwa mrija?
Nakemea mambo kama hayo mimi usiseme kama shemeji yako ni mchafu
[emoji23][emoji23][emoji23] Acha basi, ni mafuta mgando bana sio wese kwani tako ni engine ya gari gani eti..?Kwamba tako lipakwe wese?
Ili iweje sasa?[emoji23][emoji23][emoji23] Acha basi, ni mafuta mgando bana sio wese kwani tako ni engine ya gari gani eti..?
Dah, hatari sanaEti ling'are na limelemete kama upara wa ndugai..
Na taulo?Shaver za Dorco buku mbili jero pis tano, dawa ya meno closeup au sensodyne, nivea dry fresh for men Deodorant, taulo zako mbili nywele kama umefuga unanunua shampoo ya grace buku tu, unakua unaziosha unatana zinakaa kwa mpangilio, ndevu unanyoa unaacha uchebe kidogo, jinzi usivae ya kubana sana iwe one colour wala isiwe ya kuchanika magotini, na formsix yako au tishirt round, unaswaki asubuhi na usiku wakati wa kulala, unajifahidi unanunua mouthwash ya listerin buku nane, ukinyoa unayoa kwapani na vuzi la chini, ukioga unapitisha sabuni kwenye tundu za pua , maana hua zinanuka, then pitisha sabuni katikati ya vidole vya miguu na usivae viatu bila miguu kukauka maana itanuka tu kausha vizuri na kitambaa ndio weka soks yako maridadi vaa, boksa walau siku mbili unafua, usiavae boksa za mpira tafuta cotton hata za yarison, deodorant unapaka kwapani, unakua na body spray yako ya blue for men huna haja ya perfume kama uwezo ndio huo, saa yako mkononi tayari uko smart
Mi kukata kucha za miguuni mpaka nichane shuka ndo nastuka kua zimekuaUnajitahidi kukagua kucha za mikononi unakata kwa wakati, na kucha za miguuni unakata kwa wakati, hatuna uwezo wa kuvaa og blands kama guchi, versace, LV, lakini hivi hivi mdogo mdogo tu za mtumbani tunasonga
Pumbu hazisuguliwi, ukipasua uzazi je?Ukioga sugua pumbu na katikati ya mapaja vizuri kuondoa harufu ya jasho la msuguano wakati wa kutembea na ufute na taulo kavu maeneo hayo kwa umakini tusikwame jamani hawa wakose sababu
Ukiwa na demu mwenye nyota ya mbwa kila kitu atanusa hata harufu ya kwapa ambalo liko mita 50 kutoka kwake, na hatuwezi kubadilisha lifestyle kwa ajili ya mtu mmojaKakutana na harufu ya beberu kaja kutoa machungu hapa kosa ampigie jamaa yake amweleze wamalizane
Acheni kudanganyana huo sio umaridadi, huo ni umaridadaYani umemaliza with low budget kabisa umaridadi hautaji gharama kubwa
boxer 4-10, mzee huo si mtaji wa chinga kabisa?Mimi ni mwanaume ,nakubali kabisa dada tulio wengi wetu ni wachafu na tunanukaaaa.Kuns jamaangu mmoja yani akija home,pale alipokaa akiondoka lazima nipukute nipige na airfresh.Jamani wanaume wenzangu tuweni wasafi;
Oga
Fua boxer
Kuwa na boxers 4-10
Ivae asubuhi, jioni fua vaa ingine
Nyoa wizarani huko paka limao
Kuwa na lotion ya kuupendezesha ngozi.
n.k
Mimi kwakweli ni msafi mpaka mademu huwa wanajishtukia.Demu mchafumchafu atanikimbia mwenyewe.
AbsolutelyYani wanaume wapake mafuta kwa matako huu si uthen.ge wenyewe huu
Namna ulivoandika imenifanya nivute picha fulani hv yaan yaan nimejivutia picha nkiwa kwny hyo jeans,tshirt,saa mkononi afu kiduku changu nkakipiga shampoo ,,,,,chini raba ya puma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahahaaaaaa dah dis lyf go tire me ooohShaver za Dorco buku mbili jero pis tano, dawa ya meno closeup au sensodyne, nivea dry fresh for men Deodorant, taulo zako mbili nywele kama umefuga unanunua shampoo ya grace buku tu, unakua unaziosha unatana zinakaa kwa mpangilio, ndevu unanyoa unaacha uchebe kidogo, jinzi usivae ya kubana sana iwe one colour wala isiwe ya kuchanika magotini, na formsix yako au tishirt round, unaswaki asubuhi na usiku wakati wa kulala, unajifahidi unanunua mouthwash ya listerin buku nane, ukinyoa unayoa kwapani na vuzi la chini, ukioga unapitisha sabuni kwenye tundu za pua , maana hua zinanuka, then pitisha sabuni katikati ya vidole vya miguu na usivae viatu bila miguu kukauka maana itanuka tu kausha vizuri na kitambaa ndio weka soks yako maridadi vaa, boksa walau siku mbili unafua, usiavae boksa za mpira tafuta cotton hata za yarison, deodorant unapaka kwapani, unakua na body spray yako ya blue for men huna haja ya perfume kama uwezo ndio huo, saa yako mkononi tayari uko smart
Kwamba kuna wanaume wanafanya vitu kwa lengo la kuwafanya wanawake wavutiwe nao, na moja ya sifa ni pamoja na hivyo vitu ambavyo mnaita usafi?Acheni tujipendee wanaume wanaojua kupenda miili yao, wananukia, hata mkituchamba tu apenda starehe, mimi napenda mwanaume smart kila kona.
Ova.
Usafi unau define vipi?Mimi nawaambia wachafu wote, kuna nyuzi imo humu inauliza eti ni sawa mwanaume kunywa juisi kwa mrija?
Nakemea mambo kama hayo mimi usiseme kama shemeji yako ni mchafu