Wanaume waheshimiwe milele

Samahani umewajumuisha na wa Daslamu?
 
Tena tunastahili mtuabudu kabisa maana tumekua wakombozi wenu ati
 
Asante sana cute b naona point nyingi zimenielekea aisee...natamani wanawake wengi wangefunuliwa haya pia.
 
Hivi hizi sifa zinatoka rohoni kweli? Maana huku nilizoea wanaume wanaitwa "Wanaume suruali" "Wanaume jina" mara "Mijianaume" daah
 
Mme ninaye na nampenda sana.
Kama mme ulie nae unampenda sana mbona unawaponda sana wanaume??? Una tatizo gani la kisaikolojia??..... Nakumbuka jana kama siyo juzi ulitoa comment kali sana na nafikiri inaweza kuwa comment ya mwaka pale uliposema kuwa 'kuna vita baridi kati ya wanaume na wanawake'!...... Lazima kuna kitu kwenye mahusiano/ndoa yako, believe me!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…