Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio mmekumbukwa tu,nyie ni sehemu ya maisha yetu,na ni kwa wanawake wachache wenxe hekima na iman ndo wanalijua.Amen(tumekumbukwa leo)
Hapana sio mmekumbukwa tu,nyie ni sehemu ya maisha yetu,na ni kwa wanawake wachache wenxe hekima na iman ndo wanalijua.Amen(tumekumbukwa leo)
Samahani umewajumuisha na wa Daslamu?Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Ha Ha Ha Ha Ha ndio.Samahani umewajumuisha na wa Daslamu?
Kuna nini mkuu?
Asante kwa kutambua dhamani yetu mkuuHongera kwa kuangukiwa na sifa nyingi . Heshima kwako boss
Daah..umenichekesha sana broo angu.Samahani umewajumuisha na wa Daslamu?
Hivi wewe umetendwa? Mbona karibu kila comment unawadis wanaume? Umeolewa na wa Dar au?Wataheshimiwa wakijiheshimu
Mme ninaye na nampenda sana.Hivi wewe umetendwa? Mbona karibu kila comment unawadis wanaume? Umeolewa na wa Dar au?
Kama mme ulie nae unampenda sana mbona unawaponda sana wanaume??? Una tatizo gani la kisaikolojia??..... Nakumbuka jana kama siyo juzi ulitoa comment kali sana na nafikiri inaweza kuwa comment ya mwaka pale uliposema kuwa 'kuna vita baridi kati ya wanaume na wanawake'!...... Lazima kuna kitu kwenye mahusiano/ndoa yako, believe me!!Mme ninaye na nampenda sana.