Wanaume waheshimiwe milele

Wanaume waheshimiwe milele

12234941_523678341133261_9101921961191569919_n.jpg
 
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....

.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
Hii wanaume wa DASLAM inawahusu?
Maana siyo kule unaibiwa unabakwa wanaangalia tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sumbui zima simu kanunue midawa mingi akitia vocal Tu mi naumwa sina hela
 
Back
Top Bottom