sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Haya maneno uliandika 2015.[emoji120][emoji120]
Hakika Mungu ni mwema saana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno uliandika 2015.[emoji120][emoji120]
Nakumbuka my love.Haya maneno uliandika 2015.
Hakika Mungu ni mwema saana.
Yes. Tunazeidi kwenda mbaliNakumbuka my love.
Tumetoka mbali eti.
Hahah dah....Hata swala la uchawi , mwanaume ana huruma ila mwanamke hana huruma .
Teh teh..Mbali 2015??..Me na espy toka 2000 huko na tumetulia..Ebu msiturushe roho..Nakumbuka my love.
Tumetoka mbali eti.
Totally true walahiIt's either you had a bang last night, or someone is about to get manipulated today....
Mkifika Afghanistan mshuke kutusalimia.Yes. Tunazeidi kwenda mbali
Mwaka wa 2000 Kaboom ulikuwa umeshazaliwa kweli? Hahahahaha eti mmetulia[emoji23][emoji23][emoji23] .Teh teh..Mbali 2015??..Me na espy toka 2000 huko na tumetulia..Ebu msiturushe roho..
Ile safari ya nje ulikuwa unamwimbia my sis mwisho wake ndiyo umempeleka huko?Mkifika Afghanistan mshuke kutusalimia.
Hahahahaha. Makanjanja[emoji23][emoji23]Wanaume wenye sifa hizo tu ndio wabarikiwe, lakini haya makanjanja matapeli, majizi nyota, YAFE MILELE WALAHI
Asante King smoker [emoji8][emoji8]Asante dada yetu na sisi tuna kupenda pia,
Poa dada,Asante King smoker [emoji8][emoji8]
AmiinMungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Hahahah….Naona kama you had a really good sex last night......
thanks to him umeamka unatuona wote 'supermen'