Wanaume waheshimiwe milele

Wanaume waheshimiwe milele

9E3DEEBD-6DEF-4831-AC62-106804BBBC78.jpeg
 
Teh teh..Mbali 2015??..Me na espy toka 2000 huko na tumetulia..Ebu msiturushe roho..
Mwaka wa 2000 Kaboom ulikuwa umeshazaliwa kweli? Hahahahaha eti mmetulia[emoji23][emoji23][emoji23] .
Sisi Mapenzi yetu bado mabichii ndiyo kwanza tumiaka tuwili tuu. Yakishazeeka kama yenu tutaacha.
Upo kweli shemeji?
 
Wanaume wenye sifa hizo tu ndio wabarikiwe, lakini haya makanjanja matapeli, majizi nyota, YAFE MILELE WALAHI
Hahahahaha. Makanjanja[emoji23][emoji23]
 
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...

Wanaume wana roho nzurii jamani....

Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...

...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)

WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.

EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Amiin
 
Back
Top Bottom