mkuu umekuja kuji boost moralenapita tuu
Hii wanaume wa DASLAM inawahusu?.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
Kumbe qewe ni mwanaume??Wanaume tuheshimiwe
HahahahaUnaongea points tupu baada ya kuniacha,kweli vyuma vimekaza
Kweli kabisaaHii dhawabu utakayo ipata Mungu ndio anajua!!
[emoji120][emoji120]Hii dhawabu utakayo ipata Mungu ndio anajua!!