Wanaume waheshimiwe milele

Ahsante umenifanya nijisikie fahari,eeh muwe mnashukuru siku moja moja kama hivi

Usijali mkuu nyie mnatenda wema na hamna cha kuwalipa zaidi ya kuwashukuru
 

Hao ni uliokutana nao wewe lakini yeye amekutana na wenye sifa alizozitaja na ni wengi mpaka akaconclude hivyo.
 
Aisee,hizo sifa zinatoka moyoni kwako kweli? Kama Ndio basi Barikiwa.
 
Nipe likes zangu mito bhanaa...

Hahaaa sikupi zote aisee, nilikubamba mahali unahojia ukasema bado uko kwenye mahusiano ya boyfriend na gelofriend, so bado huna experience ya kutosha khs mahusiano ya mume na mke. Hata dadaangu atoto hana, sema kwa ubishi sasa!! mpaka natamani nimgawe loh!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Njoo huku usiku huu nikupe zawadi uyakayotaka lwa kunipa sifa zote hizo binti nanihii....
 
cute b umenisahau tena uuuwiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…