Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanawake wote wangekuwa na akili kama za kwako neno WANAWAKE NI WAUAJI lisingekuwepo.
Hadi nimetoa LIKE
Ahsante umenifanya nijisikie fahari,eeh muwe mnashukuru siku moja moja kama hivi
Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao
wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.
Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.
Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.
Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.
Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
Hahahaaa!
Jaman hebu Jiaminini basi!
Mmesifiwa Kiroho safiiiiiii!
Hahahaaa
Weita ebu msikilize huyu dada anatumia kinywaji gani kanifurahisha sana leo
Umeongea ukweli..... Ukweli wa maisha yangu... Ukweli hasa.. Umeingia moyoni na kuthibitishwa kuwa ni kweli.. Asante sana.....
Amen. Tunamshukur sana kwa baraka zako. Nanyi pia Mungu awabariki coz bila nyie hatuwezi kukamilika.
Mie na wapendwa hawa viumbe kwa Lao moja tuu. Utu wao yaani U U M E. Wakinitwanga mie burdaanii
Kasie
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Loh, kwa mara ya kwanza. Nimekupenda bure cutee.
NiPM contact nikutumie kazawadi mama
Kuna kitu unatafuta...