Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na waongezewe kipato ila na huku tuongezewe pesa
Duu pole sana...
Wanaume sio wachoyo wala bahili ila ni wew hujui jinsi ya kuwachomoa pesa...kumwomba mwanaume pesa awe mchepuko au awe mume wako lazma utumie akili sana... wengi hupenda kuambiwa naomba shiling flan kwa ajili ya kufanyia jambo flan..,ila wengi wetu hupenda kusema tuu "wew nipe hela mimi najua nitafanyia nini"
....mwanaume anakuwa msiri kwako kutokana na wew mwenyewe ulivyo...kwa mfano kuna wanawake wakijua mwanaume kapata hela ataanza ooohh mama yangu anaumwa oooh kuna dera linauzwa mahali badala ya kuwaza hii hela tuanze ujenzi au kufungulia biashara...sasa mwanaume akiona una hizo element hawezi kukushirikisha...
....kuhusu kuchati pia wew unaweza ukawa chanzo cha yeye kutokupenda kuchat na wew...kwa mfano kuna dada mmoja mume wake akijiunga tuu ni kosa kwa nini anajiunga anachat na nani...sasa mwanaume akijua hivyo anafanya kimya kimya usijue...
.....kuhusu kutumia muda mara nyingi kufurahi na marafik tofauti na nyumban kuna sababu... baadhi ya sisi wanawake ni kero sana kwa waume zetu hadi wakiwaza kuja nyumbani wanaumwa kichwa...
Mwanaume ni kama mtoto anahitqji malezi bora mapezi ya ukweli hakika hawezi kukukinai maana mwanaume anayekufanyia hayo hapo juu ni wazi ushamchosha na kukukinai
Tafuta mahali uwe unakunywa maziwa fresh kila siku assubuhi na jioni lita moja asubuh na moja jioni kuiweka vzur zaid IQ yako. mpaka January 2016 ntalpa mm
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
yote hayo uliyoyaandika ni kweli. ila umesahau kujisema kuwa wewe una roho mbaya na huna shukrani. kwa kuwa ukiombwa kitu kimoja tu utamnyima huyo mr sumbai. yaani pamoja na sifa zote hizo akitaka 0713 unamtosa.shabash!!!
Mtoa mada ya leo ubarikiwe sana!!,umeifanya siku yangu kuwa nzuri.
Asante mkuu
Karibu.
Hahahaaa mkuu bahati mbaya bhanaaa.....
Nimeshaifunga topic.
Ila ninakutafutia kabomu kadogo, umesababisha usumbufu kwenye PM
Umefunga? Ngoja nikaangalie...nafufua nyingine nimeiona ya miaka 33
Ukifufua nitaifunga pia.
tangu naanza kuijua jamii forums leo ndo nimepata mada nzuri sana kuhusu sisi wanaume, ubarikiwe sana cute b. Kuwa na mwanamke anaelitambua hilo ni baraka kubwa sana naimani atakutunza na kukuheshimu ww mwanamume uliemuoa. I hope shem ana enjoy sana na hawez jutia maamuz aliyoyafanya kama uko singo me najitokeza mpenz. Pia kuna wanawake wanahenyeka sana nampenda sana mama yangu mzaz na wengne mungu wape maisha marefu japokua kuna baadhi ya vitu vnanifanya nichukie vischana.mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... Kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
wanaume ni wa kuheshimiwa jamani ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake.
Ee mungu nakuomba uwape maisha marefu wanaume wote duniani.