Wanaume waheshimiwe milele

Wanaume waheshimiwe milele

Najaribu kujiuliza ni wanaume wapi sipati jibu..ila kwa kuwa ilikuwa 2015 sawa maana wanaume wa before JIWE and after JIWE ni tofauti kabisa.
 
Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao

wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.

Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.

Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.

Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.

Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
Itakuwa hakuamini wewe.
 
Kuna lile makinikia linaitwa Klitika atajinyonga akisoma huu uzi!
Njoo nikurithishe kiwanja wewe mtoto mzuri Cute B
 
Asante sana. Sijawahi kutana na uzi murua kama huu halafu umetoka kwa Ke.
 
Back
Top Bottom