Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Hiyo nyumba Kwa sasa huna mwanaume Tena.
Wewe ndyo mwanaume fake na yeye mwanamke fake.

Na nimetaka iwe hivyo
Kwa sasa mshahara nikabidhiwe mimi ndio mchora ramani zote
Heshima yake kashindwa kuitumia vyema ngoja tuwekane sawa
 
Hio no 2 sasa haisaidii nisipompa hicho chakula show si itakuwa ya kawaida

Mimi ni Mwanaume ndio nakuelekeza jinsi wanaume tulivyo.
Mwanaume ili awe na kiherehere cha ukitombi lazima awe anakula vizuri pili Hana stress za mambo madogo dogo ya kiuchumi.

Kinachomfanya atoke ni kujiona ananguvu za ziada mwilini, pia anahisi Hamu, ashki Kutokana na vyakula anavyokula.

Sasa mpunguzie Ratio ya vyakula hasa vya wanga, kama ugali wa Dona, mihogo, usimpe ndizi pamoja na matikiti, mpunguzie kiwango cha vyakula vyenye zink na potassium.
Maharage weka mbali

Mlishe Wali, mbogamboga, nyama nyekundu, ndizi za kupika, viazi, nyama ya kuku, Samaki.

Kisha ongeza majukumu na gharama za Maisha hapo ndani ya Familia,
Akili ya mwanaume ikiwa na utulivu bila changamoto ni uhakika itawaza ngono tuu
 
Mimi ni mwananaume lakini kusema ukweli wanaume wa Dar wenye wake kuchepuka imekuwa kama utamaduni. Halafu kama una mke na unachepuka nakuhakikishia 100% utakuwa umeshalishwa uchafu mwingi sana ili eti akuvutie kuliko mke wako.
Duu kama ndyo hivi basi tamaa zetu ndyo Mbaya lakini kufikia uamuzi wa kuroga nao sio.
 
Karma🙏
 

Wewe mwanaume unaelewa wakati mwingine mnachepuka bila sababu yoyote inayo eleweka
Ninachojua mimi natimiza wajibu sekta zote
Ni tabia yake tu ambayo siwezi kuivumilia
 
Hayo ni maneno tu
Inamaana humu Jf nzima hakuna wanaume waliorogwa [emoji23][emoji23][emoji23]wapo wengi sana
Tulieni jamani kama hamtaki mtatulia kwa nguvu
Akigundua lazima ndoa iende na maji; kuna mchepuko mmoja alinifanyia mauza uza, nikikutana na mwanamke mwingine jogoo hasimami ila nikutana na yeye jogoo anasimama.
Nilipogundua, hapo ndipo ukawa mwisho wa mahusiano.
 
Hapo mnaweza kugombana,
Iyumbishe biashara yako kimakusudi, omba mtaji uongezee kwenye biashara yako,
Mwambie unampenda anavyoshiriki kwenye shughuli za biashara yako,

Sawa,kwakua nampenda hata mimi sijaridhia anipe mshahara wake wote ila kuna mambo namuacha yeye mwenyewe anifanyie bila kutumia nguvu
Mimi ninachotaka ni utulivu na kufanya mambo ya maana sio kila siku ugomvi wa michepuko
 
Hiyo ya kutosimamisha kwa wengine, kuwa nayo makini dada, ukikosea masharti ndo inakua mazimaaa hata kwako inakua mfu tyuuh.

Kuna mama alimtengeneza mumewe, kamuharibu sahv yeye anatoka nje, mumewe yupo yupo tyuuh.

Ila wanaume waache umalayaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo lenu wanawake ni moja tu mkiona mwanaume katulia bila mchepuko wala kukuchokonoa mnamuona hamnazo au boya fulani, hata Mimi nataka nianze kuchepuka ili akili yake huyu mwanamke imukae sawa.
 

Huku chini kwenye majukumu ya maisha ndio nataka ni mstress zaidi alikuwa free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…