Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
🙌😃😃[emoji28][emoji28][emoji28]kwa mambo yanayo endelea week hizi mbili dawa za kufunga mume zipo
Na huyu kapigwa aina tatu tofauti sehemu tofauti yani hafurukuti awamu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙌😃😃[emoji28][emoji28][emoji28]kwa mambo yanayo endelea week hizi mbili dawa za kufunga mume zipo
Na huyu kapigwa aina tatu tofauti sehemu tofauti yani hafurukuti awamu hii
Ni dini tu ndo kikwazo, lakini mwanaume kuridhika na mwanamke mmoja haiwezekani.....Hiyo ya kutosimamisha kwa wengine, kuwa nayo makini dada, ukikosea masharti ndo inakua mazimaaa hata kwako inakua mfu tyuuh.
Kuna mama alimtengeneza mumewe, kamuharibu sahv yeye anatoka nje, mumewe yupo yupo tyuuh.
Ila wanaume waache umalayaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ya kutosimamisha kwa wengine, kuwa nayo makini dada, ukikosea masharti ndo inakua mazimaaa hata kwako inakua mfu tyuuh.
Kuna mama alimtengeneza mumewe, kamuharibu sahv yeye anatoka nje, mumewe yupo yupo tyuuh.
Ila wanaume waache umalayaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku chini kwenye majukumu ya maisha ndio nataka ni mstress zaidi alikuwa free
Intimate relationship ni weak yawezekana
Wamepaniki wakati kuna watu humu washawekwa kwenye chupa .
Ila sasa utumie Akili sio ufanye Kwa mihemko utajikuta unaharibu.
Epuka Uchawi, ni hatari Kwa Watoto wako.
Silaha kubwa Kwa binadamu ni Akili yake kama ataitumia vizuri
Akigundua lazima ndoa iende na maji; kuna mchepuko mmoja alinifanyia mauza uza, nikikutana na mwanamke mwingine jogoo hasimami ila nikutana na yeye jogoo anasimama.
Nilipogundua, hapo ndipo ukawa mwisho wa mahusiano.
Heeh kumbe alikuwa serious,yalah one man downHow it was started.
Natafuta mganga wa kienyeji konki
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...www.jamiiforums.com
Unaenda kutombwa na mganga muda si mrefu
Mkuu basi huyo wa kwangu ndivyo alivyodanganywa kwa sababu siyo kwa kuajiamini kule. Mshenzi alinilia ''time'', nimesafiri akamleta ndani kabisa. Ile siku nimesema narudi akachukua nazi kavunjia mlangoni huku anasoma maneno kwenye kikaratasi. Nilipoingia ndani akadhani sioni akasindikiza na yai viza la kuvunja. (nadhani alishaamini kuwa dawa zimenipumbaza).Hakuna cha kuliwa ukipuliza tu kitu kinaitika yaani utapigia simu hata mara 1000 chezea kuwekwa kwenye chupa😅😅
Nikumbushe tu wakati unaenda Kwa waganga kuroga ujue kuwa wanatumia nguvu za kishetani.So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.
Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.
Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].
Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.
Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.
Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.
Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.
Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.
Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Lol mwayego msamehe bana,atashuka Sana ufanisi wake kwenye kazi,na atakuwa depressed kwani umemfanya akonsetrate na wewe tu,wengine hawaoni,that's bad in the long run,afu dawa ikijachuja waweza poteza ndoa yakoNilicho kifanya hata kwenda kwa mwanamke mwingine hatoweza hivyo hatojua kama hawezi kusimamisha kwa mwanamke mwingine
Hio ni njia ya tatu by the way hizo mbili zipo ni kali zaidi