Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Ni dini tu ndo kikwazo, lakini mwanaume kuridhika na mwanamke mmoja haiwezekani.....
 

[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aah bana wanachosha bora tukose wote sio kushare kila siku ugomvi amani itawale kwa sasa tuangalie mambo mengine pia
 
Kwetu imesha mvua kubwa Sana kwahyo acha nifate vitumbuq dukani nije nishushe na hii chai yako maana Ni yaπŸ”₯πŸ”₯ sana
 
Akigundua lazima ndoa iende na maji; kuna mchepuko mmoja alinifanyia mauza uza, nikikutana na mwanamke mwingine jogoo hasimami ila nikutana na yeye jogoo anasimama.
Nilipogundua, hapo ndipo ukawa mwisho wa mahusiano.

Nilicho kifanya hata kwenda kwa mwanamke mwingine hatoweza hivyo hatojua kama hawezi kusimamisha kwa mwanamke mwingine
Hio ni njia ya tatu by the way hizo mbili zipo ni kali zaidi
 
Heeh kumbe alikuwa serious,yalah one man down
 
Hakuna cha kuliwa ukipuliza tu kitu kinaitika yaani utapigia simu hata mara 1000 chezea kuwekwa kwenye chupaπŸ˜…πŸ˜…
Mkuu basi huyo wa kwangu ndivyo alivyodanganywa kwa sababu siyo kwa kuajiamini kule. Mshenzi alinilia ''time'', nimesafiri akamleta ndani kabisa. Ile siku nimesema narudi akachukua nazi kavunjia mlangoni huku anasoma maneno kwenye kikaratasi. Nilipoingia ndani akadhani sioni akasindikiza na yai viza la kuvunja. (nadhani alishaamini kuwa dawa zimenipumbaza).
 
Nikumbushe tu wakati unaenda Kwa waganga kuroga ujue kuwa wanatumia nguvu za kishetani.

Na shetani hayupo tayari kuacha ndoa yoyote iwe na amani.Unaweza ukafikiri umepata suluhu kumbe umefungua mlango wa mapepo kuharibu ndoa Yako.

Hiyo Dawa ikiisha tatizo nakuhakikishia litaendelea maradufu ilimradi urudi Tena Kwa huyo mganga Tena na Tena.Na siku usiporudi ndyo basi Utaziona hizo condom zinazidi.

Ni aheri ungesali.Hakuna msaada wa kishetani unaoendaga Bure Bure waangalie freemason ukitaka kuacha tu masharti makali ya kupoteza uhai unapewa.Kuwa makini.

Sasa wameshagundua weakness Yako watakutesa Sana .Piga goti Sala achana na hayo mambo ya kichawi
 
Nilicho kifanya hata kwenda kwa mwanamke mwingine hatoweza hivyo hatojua kama hawezi kusimamisha kwa mwanamke mwingine
Hio ni njia ya tatu by the way hizo mbili zipo ni kali zaidi
Lol mwayego msamehe bana,atashuka Sana ufanisi wake kwenye kazi,na atakuwa depressed kwani umemfanya akonsetrate na wewe tu,wengine hawaoni,that's bad in the long run,afu dawa ikijachuja waweza poteza ndoa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…