Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

Kidbway kambana Jamaa vibaya sana........ Digital platform zote kibindoni...Kakamata System nzima Kama alivyokamata kwa kina Coyo na wakapotea.

"Hadi zawadi tugawane na bado umenifungulia kesi ya kunidai 2Bill"
Mhaya aliekulia Mwanza kapanic.
Piga kiberiti.
Naandika Nini sasa hapa.
 
Ebwanae,yakweli hayo
 
"Hakuna pombe za bure braza kipo wanachotaka, we kunywa tu watakubaka."

Nay wa Mitego - Sijalewa.
 
Back
Top Bottom