Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

kuna kundi la walevi wanaleweshwa bia hadi wanajisaidia mitaani nafikiri ndio hawa

nilikua najiuliza sana inawezekana vipi mtu pesa ni yake anywe pombe hadi ajisaidie haja kubwa mitaani usiku sasa naelekea kupata jibu
Hao wapo sana hasa huko ukanda wa migombani, hawana tofauti na ombaomba.
 
Leo nimetoa offer kadhaa kwa jamaa mmoja stranger wapili ni mshikaji tunakutana nae kilingeni..

Ni kawaida kwa ma GENTLEMAN kusaidiana connection,pombe, furaha, shida e.t.c
 
hiyo maisha ya juu ni pacha wake kisungura nilicheka sana banana wanaita kichane eti wana kwambia nikipiga vichane viwili nakaa kiaskari kumbe matokeo yake wanajinyea dah walevi bana hovyo sana
😂 walevi wa pombe mshenzi hao, mtu adi anajinyea lakini haachi.
 
Duh aiseee

Ila wakumbuke

Pale Unasifiwa Na Wenzako Kwa Kutembea Na Watoto Wakali Tena Warembo..Lakin ipo Siku Utasifiwa Na Doctor Kwa Kumaliza Kijiko Cha Uji.

Naona kama point yako ni moot flani hivi maana magonjwa yanampata kila binadamu.

Ungesema atakufa mapema sawa. Ila ukifanikiwa kuishi sana uzee wako lazima unyweshwe uji vile vile.
 
Na mabinti wanapeana??!!! 😹
Kweli mmetuchoka mbwa nyie
 
Back
Top Bottom