Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
kuna kundi la walevi wanaleweshwa bia hadi wanajisaidia mitaani nafikiri ndio hawaNgoja siku waruke nae
Hao wapo sana hasa huko ukanda wa migombani, hawana tofauti na ombaomba.kuna kundi la walevi wanaleweshwa bia hadi wanajisaidia mitaani nafikiri ndio hawa
nilikua najiuliza sana inawezekana vipi mtu pesa ni yake anywe pombe hadi ajisaidie haja kubwa mitaani usiku sasa naelekea kupata jibu
wazee wa unatuachaje mekuHao wapo sana hasa huko ukanda wa migombani, hawana tofauti na ombaomba.
wanakwambia niachie hata buku ya high life, alafu hiyo ni saa 3 asubuhi.wazee wa unatuachaje meku
hiyo maisha ya juu ni pacha wake kisungura nilicheka sana banana wanaita kichane eti wana kwambia nikipiga vichane viwili nakaa kiaskari kumbe matokeo yake wanajinyea dah walevi bana hovyo sanawanakwambia niachie hata buku ya high life, alafu hiyo ni saa 3 asubuhi.
Wanajua wao alafu hawana muda na familiaNawahurumua wake zao,wanagongana saa ngapi sasa
😂 walevi wa pombe mshenzi hao, mtu adi anajinyea lakini haachi.hiyo maisha ya juu ni pacha wake kisungura nilicheka sana banana wanaita kichane eti wana kwambia nikipiga vichane viwili nakaa kiaskari kumbe matokeo yake wanajinyea dah walevi bana hovyo sana
Duh aiseee
Ila wakumbuke
Pale Unasifiwa Na Wenzako Kwa Kutembea Na Watoto Wakali Tena Warembo..Lakin ipo Siku Utasifiwa Na Doctor Kwa Kumaliza Kijiko Cha Uji.