Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake.

Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo wanaume sasa.
 
Nasema Hii Bhaghosha Sana, Yaani Kwenye Utawala Wangu Ule Pesa Ya Serikali Itatokea Tundu Lolote Lililowazi Kwenye Mwili
By Jiwe, Mzilankende
 
Tutafute pesa wanangu, Mwanamke ni ua mwanamke ni chombo cha starehe sio kijakazi wala mtumishi.
 
Ulichoandika ni ukweli mtupu lakini uhalisia wa kitaa maisha yanalazimisha kutafuta mwanamke mwenye kibarua ili kidogo tupumue.
 
Hapo mkichapiwa msioaumu. Kwasabb mwanamke akiwa exposed kwa wakware ni rahisi sana kudanganyika
 
Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake.

Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo wanaume sasa.
Uko sahihi.
 
Back
Top Bottom