NakaziaWewe sema huna kazi na unataka kuolewa, tutakuelewa.
Hapo mkichapiwa msioaumu. Kwasabb mwanamke akiwa exposed kwa wakware ni rahisi sana kudanganyikaUlichoandika ni ukweli mtupu lakini uhalisia wa kitaa maisha yanalazimisha kutafuta mwanamke mwenye kibarua ili kidogo tupumue.
Uko sahihi.Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake.
Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo wanaume sasa.