Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,620
- 6,780
Tena bila kuchoka mkuu 😅😅😅Saw apo Nimekupata ni Kazi iendelee
Tena bila kuchoka mkuu 😅😅😅Saw apo Nimekupata ni Kazi iendelee
Punguza kuoga sana. Wengi waliofanikiwa stori zao za kuoga ni chache sana.Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa?
Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta.
Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua.
Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
Unafanya biashara? Ili upewe Ushauri mahususiWanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa?
Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta.
Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua.
Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?