Wanaume waliopanga wana enjoy sana

Wanaume waliopanga wana enjoy sana

Huyo dogo kaongea ukweli sema ndio vile humu jf mtu maarufu akianza na koment za kipuuzi Basi wanao fata wote mtiririko ndio huo huo [emoji38][emoji38][emoji38]

Ndio hivo zile hela mnazo sisitizana mtafute hiyo nDio kazi yake ....

Kama mwanaume jijenge kwanza, jipende kwanza , yaani kuwa na vitu vizuri kwa ajirri yako wewe mwenyewe ....yaani Hawa wanawake wawe wa nyongeza kwako aiseeee utawapakua Hadi ukimbie mwenyewe yaani utaliliwa Sana Kama Mungu wao vile
 
Heshima yangu iwaendee wale Wanaume ambao wana pambana na maisha Nonstop nazungumzia wale wote waliopanga wanalipa kodi za nyumba, walioa, na wale wanaolea watoto. Mungu aendelee kuwajaliaa sana.

Nirud kwenye mada kesi yangu, kwa life la hapa bongo kama Mwanaume una chumba na sebule masta, jiko seblen umejaza mazaga kama flat screen yako safi, home thieta mziki mnene, una makochi yako na meza bila sahau zulia safi lipo chini, tunakuja kwenye fridge umejaza makula kula kama mikuku, misamaki, minyamanyama ya kutosha bila sahau mavinywaji yote.

Pembeni umepaki kausafiri kako kakusaidia mishe/harakati zako amini kwamba wanaume wa dizaini hii wanashobokewa sana na Mademu kma pisi wanazila sana tena bila kutumia nguvu imagine dem wako anaenda kwa jamaa wa dizain hii afu wewe unakaa home tu hesabu maumivu[emoji23][emoji23]. Tena usiombe uwe na Ndinga CROWN asee watoto wanashoboka sana. Au nasema uongo ndugu zangu?[emoji23]

TUTAFUTE HELA SANA,
Umenikumbusha mbali sana,enzi hizo Bado teenager,ratiba yangu ilikuwa,gym,kupiga pamba,kula bata na toto la kirangi kama Somali vile!!!
Long time kitambo,
Hapo ulipoeleza ukiongeza mikakati ukawa na kipato Cha ziada ambacho hutegemei ajira,harafu uwe na baby mama na vitoto kama viwili vinasoma shule zile za mabasi ya njano!!!
Haki ya nani vile!!pepo utaanza kuila hapa hapa,harafu taratiiibu usisahau kwenda Masijid kama Islam kama sie,au chaurch kama ni mkorinto.
 
Ukiweza fanya yote hayo kabla ya miaka 25.
Ukaoa kabla ya miaka 30.
Ukawa na kiwanja na ukamiliki nyumba kabla ya miaka 35.
Utakuwa umetisha sana.

Bahat mbaya wanaume weng wakifika hiyo hatua, ndio wanaanza kuzingua. Maana vijisent vipo.

Utakuta unaingia kwenye kampan za ajabu za kula bata.
Bata unalila had weeeeee na unajisahau tena.

Ukija shtuka, miaka ishafika 30's huko, ushatia mimba wadada kama watatu na unatakiwa ulee watoto.

Unachanganyikiwa hujui uoe nani, unabak na status yako hiyi hiyo kwa miaka hata 10+.

Maisha haya, inabid yakikubali yapeleke fasta fasta . Maana hujui mbele kuna nn.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Naachaje kumshobokea KWA MFANO[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]ntamganda mpaka asahau kwao alaaa[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko
Bora Wewe umesema kweli, na hilo hutokea kwa wanawake wengi ambao wameshafiisha umri wa kuolewa...
 
Heshima yangu iwaendee wale Wanaume ambao wana pambana na maisha Nonstop nazungumzia wale wote waliopanga wanalipa kodi za nyumba, walioa, na wale wanaolea watoto. Mungu aendelee kuwajaliaa sana.

Nirud kwenye mada kesi yangu, kwa life la hapa bongo kama Mwanaume una chumba na sebule masta, jiko seblen umejaza mazaga kama flat screen yako safi, home thieta mziki mnene, una makochi yako na meza bila sahau zulia safi lipo chini, tunakuja kwenye fridge umejaza makula kula kama mikuku, misamaki, minyamanyama ya kutosha bila sahau mavinywaji yote.

Pembeni umepaki kausafiri kako kakusaidia mishe/harakati zako amini kwamba wanaume wa dizaini hii wanashobokewa sana na Mademu kma pisi wanazila sana tena bila kutumia nguvu imagine dem wako anaenda kwa jamaa wa dizain hii afu wewe unakaa home tu hesabu maumivu[emoji23][emoji23]. Tena usiombe uwe na Ndinga CROWN asee watoto wanashoboka sana. Au nasema uongo ndugu zangu?[emoji23]

TUTAFUTE HELA SANA,
Kasome uzi wa Heaven Sent ili ubongo wako uwe liberated....
 
Umeenda vizuri rafiki angu afu mwisho umepuyanga

Kuna wanawake hizii material thing haziwapi shida na hasa kwa karne hii asee[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Wawili Kati ya 1000
 
Umeenda vizuri rafiki angu afu mwisho umepuyanga

Kuna wanawake hizii material thing haziwapi shida na hasa kwa karne hii asee[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Sawa haziwapi shida ila wengi wao wananasia humu kwenye material
 
Ila ameongea ukweli asee[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] sema mimi kama mimi sipo so much obsessed na man wa dizaini hii yaan nikijua upo hivi basi nitaenda moja kwa moja kua nina wenzangu wengi tu

ili niamini labda tukae wote asee [emoji28][emoji28][emoji28] sema thankful siku hz wanawake tuna hela hela hizi material hazitupi shida kama zaman

BWANA YESU ASIFIWE
Yah. Wanawake wanapambana sana sikuhizi. Na wana vijisenti vya kwao wenyewe.

Na marafik zangu wadada kadhaa, co-workers, wana vyote hivyo na hawajahongwa na wanaume kuvipata.

Ila sasa kuna wale wengine sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , ambao ndio Mdogo wangu Champagnee Anawaongelea na yuko sahihi kabisaaa.

Hivyo vitu vinawachanganya sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mile45,

Unaongea vizuri sana juu ya Uzi wa huyo kijana, na ndiyo kweli ipo hivyo, huyo kijana kaeleza vizuri sana.

Kila nyuzi humu wanasisitiza kutafuta pesa kwanza ili mwanaume uwe vizuri , na matumizi ya pesa mwanaume kujiweka vizuri kimaisha kama alivyoeleza kijana, na kwamba akitokea mwanamke ambaye yupo tayari basi maisha yaendelee ....

Sasa kosa hapo lipo wapi?

Au hapo pepo lipo wapi?

Watu wengine tunapochangia mada , tuwe tunafikiri kwanza kabla ya kuchangia hizo mada....

Kuna mada nzuri sana humu JF sema sema zinajaribu kuchafuriwa tu.

Mwanaume jiandae kama alivyoeleza kijana...
 
Heshima yangu iwaendee wale Wanaume ambao wana pambana na maisha Nonstop nazungumzia wale wote waliopanga wanalipa kodi za nyumba, walioa, na wale wanaolea watoto. Mungu aendelee kuwajaliaa sana.

Nirud kwenye mada kesi yangu, kwa life la hapa bongo kama Mwanaume una chumba na sebule masta, jiko seblen umejaza mazaga kama flat screen yako safi, home thieta mziki mnene, una makochi yako na meza bila sahau zulia safi lipo chini, tunakuja kwenye fridge umejaza makula kula kama mikuku, misamaki, minyamanyama ya kutosha bila sahau mavinywaji yote.

Pembeni umepaki kausafiri kako kakusaidia mishe/harakati zako amini kwamba wanaume wa dizaini hii wanashobokewa sana na Mademu kma pisi wanazila sana tena bila kutumia nguvu imagine dem wako anaenda kwa jamaa wa dizain hii afu wewe unakaa home tu hesabu maumivu[emoji23][emoji23]. Tena usiombe uwe na Ndinga CROWN asee watoto wanashoboka sana. Au nasema uongo ndugu zangu?[emoji23]

TUTAFUTE HELA SANA,
Vyuo vifunguliwe tu?;
 
Pia tukumbuke kuwa duniani ipo hivi

WANAWAKE NI WENGI KULIKO WANAUME , hivyo basi siyo wanawake wote hawasumbuliwi na "material things", Ila ni wengi bado wanasumbuliwa na kuona mwanaume wa hivyo , au amekamilika hivyo.

Kwamba anakausafiri kake amepanga na ndani amekamilika , au anamiliki nyumba yake na ina kila kitu ndani.
 
Back
Top Bottom