Wanawake siku hizi mna hela??..Ila ameongea ukweli asee[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] sema mimi kama mimi sipo so much obsessed na man wa dizaini hii yaan nikijua upo hivi basi nitaenda moja kwa moja kua nina wenzangu wengi tu
ili niamini labda tukae wote asee [emoji28][emoji28][emoji28] sema thankful siku hz wanawake tuna hela hela hizi material hazitupi shida kama zaman
BWANA YESU ASIFIWE
Mwanangu kama sio mlevi[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiweza fanya yote hayo kabla ya miaka 25.
Ukaoa kabla ya miaka 30.
Ukawa na kiwanja na ukamiliki nyumba kabla ya miaka 35.
Utakuwa umetisha sana.
Bahat mbaya wanaume weng wakifika hiyo hatua, ndio wanaanza kuzingua. Maana vijisent vipo.
Utakuta unaingia kwenye kampan za ajabu za kula bata.
Bata unalila had weeeeee na unajisahau tena.
Ukija shtuka, miaka ishafika 30's huko, ushatia mimba wadada kama watatu na unatakiwa ulee watoto.
Unachanganyikiwa hujui uoe nani, unabak na status yako hiyi hiyo kwa miaka hata 10+.
Maisha haya, inabid yakikubali yapeleke fasta fasta . Maana hujui mbele kuna nn.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Me umri wa kuolewa badoBora Wewe umesema kweli, na hilo hutokea kwa wanawake wengi ambao wameshafiisha umri wa kuolewa...
Tuambie mafanikio zaidi ya hayo yenye maana zaidi hapa duniani?Hujaona mafanikio ya kukupa raha zaidi ya kushobokewa na kula madem!?
Sasa ndio kitu roho inapenda nifiche ili iweje na WANAUME wa hivyo adimu kaka mayai ya mbuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo dogo kaongea ukweli sema ndio vile humu jf mtu maarufu akianza na koment za kipuuzi Basi wanao fata wote mtiririko ndio huo huo [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio hivo zile hela mnazo sisitizana mtafute hiyo nDio kazi yake ....
Kama mwanaume jijenge kwanza, jipende kwanza , yaani kuwa na vitu vizuri kwa ajirri yako wewe mwenyewe ....yaani Hawa wanawake wawe wa nyongeza kwako aiseeee utawapakua Hadi ukimbie mwenyewe yaani utaliliwa Sana Kama Mungu wao vile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ole wako usahau ntakwendea KWA bibi [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mselelekoNikifikia level hio ntaku pm mama
Yah. Wanawake wanapambana sana sikuhizi. Na wana vijisenti vya kwao wenyewe.
Na marafik zangu wadada kadhaa, co-workers, wana vyote hivyo na hawajahongwa na wanaume kuvipata.
Ila sasa kuna wale wengine sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , ambao ndio Mdogo wangu Champagnee Anawaongelea na yuko sahihi kabisaaa.
Hivyo vitu vinawachanganya sana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
πππWe jamaa n mjinga sana
Daah ndiko tulikofikia kama taifa
Tunawaza ngono muda wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ole wako usahau ntakwendea KWA bibi [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] mseleleko
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana, watapingana na wewe...
Na kitanda cha maana na godoro lake lenye ujazo[emoji41]
Kitanda kitandikwe,shuka rangi fulani hivi yenye vimaua maua[emoji3059]
....pazia nzuri zenye maua mazuri ya kuvutia[emoji7]
...chumbani kuwe na mwanga fulani hivi[emoji8]
Binafsi napenda hivyo,mwenyewe binafsi siyo vya mwanaume,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]