Wanaume waliopanga wana enjoy sana

Wavulana na nyie mmezid kuwachangany hawa watt wa kikee...mara leo mje na mada za kuwqsugua vizur....mara uwe umepanga geto liwe na kila kituu...hapa naona kama unawachaguliq wanawake kile unachpenda ww
 
Mbona mnamponda sana huyu dogo ndio kitu anaona kwake atleast kinampa furaha so naona nj kitu kizuri infact ameelezea maisha flani ya kujana bachelor kuna goal flani unakua une step tofauti na kukaa home af huna ishu
 
Hawa wanao mbishia dogo ni wale walio ambiwa wanawake wanapenda matango wameenda wamebusti vibamia vimekua matango Sasa yamekua mzigo na mademu hawagingi kwa hiyo stress zao wanakuja kummalizia dogo hapa.

Hakuna binadamu asie penda vitu vizuri na visafi hasa kwa wanawake hicho kitu ni Cha kwanza kwake hata Kama yeye ni mchafu vipi ....lazima atapenda kitu Cha kunukia chenye rangi nzuri na kisafi.

Kwa hiyo ukiwa na vitu hivyo alivyo sema dogo hata pesa unaweza usiwape na hauta tumia nguvu nyingi kumuita aje geto .... yaani utakua Unamtumia meseji moja tu kuwa leo nipo njoo.....hutasikia hata hela ya nauli akiomba maana anajua anakuja kupiga picha kwenye mashuka mazuri na mapazia mazuri Kama mjuavyo wanawake na selfie.

Kama unabisha endelea kupambana na mkongo kukuza hicho kibamia
 
Jf ukisema mademu hawakupendi utaambiwa tafuta hela..ukitafuta hela ukizipata ukapanga sehemu nzuri na ndani ukapaweka vizuri pakawa full of entertainments,kausafiri kidogo na wewe ukangaa ili uanze kukubalika na hao mademu bado tena Jf watakuambia uache utoto..

Jf is full of dramas.
 
Huo ndo ukweli,,ila Jf unafki mwingi watu wanaona mleta mada kaongea ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alooh acha kufuru ya Kumshirikisha Mungu kwenye ujingaujinga
 
Kila mtu ana namna anavyoyaona maisha.
 
'Nirudi kwenye mada kesi yangu,'
Ilimaanisha 'murder case', au kichwa changu kinajichanganya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…