Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

Ni wajinga sn, ndiyo maana wanabaki na maisha magumu pindi wakiachana na wanaume
 
Hali hii inawafanya wanaume wajiingize kwenye rushwa, wizi, na uhalifu mwingine au kufanyakazi zaidi za ziada na hatarishi kuliko wanawake ili kuziba pengo linaloporwa na wanawake.
 
Mkuu hoja yako inanikumbusha siku Moja nilikuwa napita sehemu wanapojenga mafundi, mara wakakatisha mabinti watatu wanao saidia kugawa vinywaji baa, maarifu kama barmedi. Wale vijana wakaanza kuimba "Bora nijipende mwenyewe, bora nimpende mama yangu" sijui msanii gani ameimba mwimbo huo.

Wale akina dada waliposikia mwimbo huo kutoka kwa vijana hao, haraka wakajibu kwa wimbo mwingine, wakaimba kwa sauti ya juu wakasema: "Wanaume wameumbwa mateso kuhangaika". Ilikuwa ni burudani ya aina yake, lakini ilinipa ujumbe mzito.

Karne ya saba Uislamu ulikuja na maoni kama hayo, japo watu wamagharibi kwa muda mrefu wamepiga kampeni kupuuza sheria ya mirathi katika Uislamu.

Katika sheria ya mirathi ya Kiislamu anapofariki mzee kijana wa kiume anapata mara mbili, na dada yake anapata mara moja. Ukiangalia sheria hiyo kwa jicho la kengeza utaona mwanamke ananyimwa haki katika mirathi, swali ambalo watu wengi wanauliza kwa nini mtoto wa kiume apate mbili na dada yake apate moja?

Wasomi katika dini hiyo mara kadhaa hujibu, anapofariki baba jukumu la uangalizi wa dada hubaki kwa kaka yake, hata kama dada ameolewa, au ana kazi yenye mshahara mkubwa kuliko kaka yake, lakini uangalizi wa dada bado upo chini ya kaka yake mwenye kipato kidogo. Dada anapoachwa na mumuwe jukumu la uangalizi humuangukia kaka. Ni wajibu wa kaka ahakikishe dada amekula, amevaa na amelala sehemu nzuri mpaka atakapo olewa.

Utaona kwa uwazi kabisa kuwa iwapo kaka na dada watagawana sawa katika mirathi, kaka ndiye atakayepunjwa. Ili wawe sawa sheria ikaona bora kaka aongezewe kiasi, utaona kiasi kilichozidi kaka amekihifadhi tu kwa ajili ya matunzo ya dada yake.
 
Kuna ofisi nilifanyaga.. wanawake wa pale ndo wanaongoza kwa kuchora madeal… na yanachorekaaa 🤣🤣 Ila bado hawakuwahi kuwa na pesa.
Sasa kama kichwa chake ni mwanaume asipokuwa na maendeleo hatuwezi mlaumu kwakuwa yeye siyo kichwa kichwa ni mwanaume ndo wa kulaumiwa
 
Hoja fikirishi hii.Umewaza mbali sana,no wonder wanawake wanaishi muda mrefu kuliko sisi,just imagine tuna take risk muda mwingine tunaishia kufungwa au kuuawa kabisa.Jela tuna nafasi kubwa ya kuingia kuliko wao.
 
Wanashindana kujipamba na kunukia vizuri baaaasi, na gari zuri la kutembelea
 
Umeongea ukweli kabisaa.
 
Wewe kama umeshindwa kumkontroo huyo mke wako ni wewe...sisi wengine ATM card zao tunatembea nazo mfuko wa shati daily
Unatembea nazo kwan zako? Ulimsomesha wewee?
Huu uchuro aliuleta shemeji kwa dada, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna alikomaa, aliambiwa unajua ada yake ilikua inalipwaje?.

Huyo mkeo ni mjinga na mpumbavu
 
Zile kazi ambazo wanaume wangefanya na kuhudumia familia zao ,sasa wanapewa wanwake amboa pesa wanamalizia saluni.
Tunataka equity sio equality ... Equality kila mtu atapata stahiki kutokana na majukumu yake.
Hakuna usawa wa mwanaume na mwanamke duniani (Mungu kwenyewe ndiye muasisi wa hilo).
Wanaume wanatakiwa waishi na wanawake kwa akili.
Mwanaume ni wa kumhudumia mwanamke kiasili hata kama ana kazi au cheo kumzidi (kazi au cheo chake kinatakiwa kitumike kumdhibiti kwa akili),
Wanawake wote wanadhibitika kufuata maelekezo ya mwanaume kiasili. Ukiongozwa na mwanamke (kifamilia au kikazi) kuna uwezekano mkubwa sana wa kuwepo maelekezo ya mwanaume mwingine.
 
Ndio Maana tunakufa mapema.

Siku hizi Ishi unavyoweza acha kujikataa sababu ya Kuridhisha Wanawake.
 
Usawa umebaki kwenye Theory tu. Hata wanaopiga Chapuo ni Mitandanoni tu not practical
 
Hoja fikirishi hii.Umewaza mbali sana,no wonder wanawake wanaishi muda mrefu kuliko sisi,just imagine tuna take risk muda mwingine tunaishia kufungwa au kuuawa kabisa.Jela tuna nafasi kubwa ya kuingia kuliko wao.
Fikiria kuwa pale mnafurahishana na kuburudishana wote lakini baada ya pale mwanaume ndiye atalipa hela yote ya guest, chakula, vinywaji, usafiri na kumhomga tena pesa ya matumizi. Nenda mahotelini, baa, kumbi za starehe, ni wanaume ndio wanatoa pesa kugjaramia kila kitu. Ndio maana ukifika Marekani wanaume ndio wanaolipwa zaidi tangu zamani hadi Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…