Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

Yani wanaishia kujiita wanawake wapambanaji
Waongo hao nimekaa kaskazini hata hao matajiri utosikia tajiri mkubwa ni mwanamke ila wajane kibao wana miliki nyumba na biashara za wanaume zao ila hakuna tajiri wa kutishia mkoa mzima.

Mama nyingi hawa wako low licha ya kuwa wengine na wanafanyakzi ila unakuta hata kweny top 10 hamna hata mmoja.
 
Wanawake huamini kuwa mwanaume ukiwa na pesa utaenda kuhonga wanawake wengine, hivyo atahakikisha anakukausha zote ubaki mweupe
 
Eti tukiwezezwa tunaweza!!!! Haya wanayasema wenyewe.
Ndio kwa sababu mnaowakandamiza ni ninyi hivyo jukumu la kuwawezesha ni lenu pia, mwanamke yuko hapo alipo kwa sababu ya kukandamizwa na mwanaume, acheni kuwakandamiza muwawezeshe halafu muwaache bila kuwabugudhi, kuwasimanga, kuwadhalilisha wala kuwatukana muone matokeo yake
 
Sisi ndio tunaohonga na kusaidia hawa viumbe maisha.

Unakuta Mwanaume mmoja anahudumia wanawake kama watano kwa kuwahonga nakuwapa hela kila wanapopata shida.

Wanaume ndio hununua mapenzi, hili linawafanya wanawake kupata hela za matumizi na kuendeshea maisha.

Tafsiri yake ni nini? Wanaume wakiwa na maisha magumu basi wanawake ndio waathirka wakubwa na ndio huwa na maisha magumu zaidi.

Wanaume walipwr hata mara saba kuliko wanawake.
 
Mwanaume kuwa na hiari ya kumtumia mwanamke atakavyo haihusiani na mahari hicho ni kichaka tu cha kujifichia ili mahari ionekane mbaya, kuna jamii hazina mambo ya mahari ila bado mwanaume anamtumia mwanamke vile anavyotaka kwa kigezo cha kwamba amemuoa na anamhudumia, kwa wahindi familia ya mwanamke ndio inatoa mahari kwa mwanaume lakini bado mwanaume ndio ana mamlaka kuliko mwanamke
Huko kwa wahindi ndo usiseme kabisa. Wanawake walikuwa wanaua wanaume ili wamiliki mali, hivyo wakaamua kuwa mwanamke atazikwa na mumewe pamoja kama mume akifa. Hii ikasababisha wanawake waache hiyo tabia na wanawahudumia sana waume wao wakiwa wagonjwa ili asife.
 
Back
Top Bottom