Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

Kumbe Amerika waligundua mapema sana.

Wako mbele ya Muda
 
Salon na kwa waganga kutafuta nyota
Ona, mwanamke anakwenda kwa mganga ili apate mchumba, lakini mchumba akija anamtaka atoe mahari (pesa) kumuoa. Jiulize kwanini mwanaume atoe mahari wakati wote Wana wazazi waliowazaa na kuwalea? Kwanini mume atoe mahari wakati wote wanakwenda kutunzana, kufurahishana na kuzaa watoto wao wote?. Nadhani mahari ni ujinga TU wa wanaume kudhani kuwa wao wanafaidi zaidi wakati wa tendo la ndoa, kumbe ni kinyume chake. Kwenye tendo la ndoa wanawake ndio wanaofaidi na kufurahi sana, walioaswa kuwalipa wanaume kwa kuwafurahisha.
 
Kiufupi jifunze kuishi kwa Ku make a difference , wewe Kama unatoka familia masikini don't be attached with the same partner with poverty mentality and DNA you will remain stuck forever.

Wanawake hata wakilipwa Mara mbili yako hiyo haiwezi kukuzuia wewe kufanikiwa au kuwa na financial freedom.

Tatizo la nchi masikini kama Tanzania ukipambana kumiliki wanawake masikini fahamu tu hutafanikiwa kwa lolote .

Something that hold you back is ur mind unapofika hatua ya kuwaza ili Mimi nipande lazima mwingine ashuke hiyo inaashiria ur already fucking ur decent future
 
Kama ukiongea upande wa dini, dini zote zinamkataza mwanamke kufanya kazi za kiuchumi, anatakiwa abaki nyumbani azae kwa uchungu na kulea watoto na mwanaume ale kwa jasho na kuitunza familia. Lakini Sasa hivi mwanamke hakai nyumbani tena, hapiki, hafui wala hanyonyeshi Wala kutumza familia maana na yeye anatoka kwenda kazini, masomoni, kwenye siasa, nk. Hata kama wakilipwa kidogo hawalalamiki kwakuwa Wana vyanzo vingine vya mapato (wanaume) vinavyohakikisha kuwa wanakula, wanalala, wanakunywa, wanatibiwa na wanaopata nauli ya kwenda kazini.
 
Na tuache ubaguzi wa Kijinsia.
Mwanaume na mwanamke hutofautiana kuanzia maumbile, fikra (akili) na nguvu.
Hali hiyo ndiyo inayofanya jamii iwe kama ilivyo. Kujidanganya kuwa wapo sawa ni kupingana na Mungu mwenyewe.
Hii dhana ya usawa yaweza kuwa na malengo ya kisiasa na kiuchumi katika kutawala jamii nyingine duniani kama utakavyotumika ushoga.
Jamii na mataifa yenye nguvu haiwezi kukubali dhana hii hata kidogo.
Wanawake hutumiwa kwa malengo maalum katika majeshi na siasa, na ni wachache,
Jukumu kubwa na la msingi kwa wanawake ni kuendeleza kizazi na kuilinda jamii katika ngazi ya familia.
 
Ushoga, mimba za utotoni, utumiaji madawa ya kulevya na uhuni kwa watoto inawezekana vikawa vinasababishwa na wanawake kuacha jukumu lao mama la kuwa karibu na familia kwa masaa 24 kila siku kila wiki, kila mwezi mwaka mzima na milele. Baada ya wanawake kujiunga na makundi ya wanasiasa, wafanyakazi na wafanyabiashara wamejiondoa kwenye ulinzi madhubiti wa watoto wao.
 
Unahoja ya msingi usikilizwe
Kama hutaki kuibiwa saana mara kwa mara akili wanawake. Pale bandarini wabaki makuli TU wanaume waliobaki wote wawe wanawake, wizi mkubwa wa kutosha utakwisha
 
Kuna Bi.Mkubwa mmoja ana Watoto wake wanaishi Marekani,amewai kwenda uko akaishi kama miaka 3,nakumbuka alisema kuwa Marekani Wanaume walioajiriwa wanalipwa zaidi ya Wanawake ata kama cheo ni ichoicho.
Kuna mtu ana experience na hili Wakuu?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli,waliwaza mbali.
 
Wazazi wako wangekuwa wamekulea vizuri ungekuwa unajua nini maana ya mahari, kifupi mahari inatolewa kwa sababu mwanamke akiolewa familia yake inahesabika imelose while ya mwanaume inahesabika imegain, hao watoto mtakaowazaa watachukua majina ya mme na si ya mke so mahari ni kama fidia kwa familia ya mke kwa kupoteza
 
Yani wanaishia kujiita wanawake wapambanaji
 
Naunga mkono hoja yani wanawake hawastahili hata kurithi
 
Huu ujinga inatakiwa tuufute haraka
 
Cha ajabu hata ukiwasaidia hiyo pesa,hawaifanyii ilichoombewa.
Utaambiwa kitu furani kimeisha,ukiuliza mpaka upate pesa nyingine wanahitaji sh ngapi,baada ya siku mbili utaambiwa hatukutumia yote kwa hicho,tulifanya hiki na kile. Ukiangalia hukioni.
Namjua mmoja walikuwa wana uwezo mkubwa,yeye atampiga mizinga mme wake kumbe anaenda kulipia ada watoto wa mahawala.
Hawa viumbe,basi tu
 
Ni kweli tupu.
 
Origin ya mahari ni bei halali ya kuuza mtoto wa kike kwa mwanaume wa ukoo mwingine. Wanazuga kwa kuita mahari lakini ukweli ni kuuza na kununua na bargaining inaruhusiwa kama vile unavyonunua bidhaa nyingine. Na Binti akishanunuliwa mwanaume amepata kabisa na anahiari amtumieje. Hata mume akifa familia inaendelea nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…