Wanaume wambea wanazidi kuongezeka kwa kasi ya 5G

unaongelea umbea halafu wewe mwenyewe unatuletea umbea wako hapa?

auwewe sio mwanaume?

hoi screenshot ulioileta hapa inaashiri Kuwa wewe ndio mmbea nambamoja humu janvini

hebutueleze kwanza hio screnshot umeitoa wapi?tukikuita mmbea umetuletea kitu hakituhusu utakasirika?

kamawewe siommbea sikunyingine ukiona vitukamahivyo viache hukohuko usituletee humu ujinga wako

kwanza mwanaume unafatiliaje mambo yakindezi kama haya?
 
Hii boy child Campaign ni vema ikadhaminiwa na waafrika wenyewe wazungu ni washenzi na hawaaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeflow vzr ila hapo mwisho umeharibu kulikuwa na haja gani ya kuweka picha ya mshabiki wa yanga, tofauti ya ww na hao wanaume wa kike itakua ni ID tu Mr mshana
Kuna mahali nimeandika au imeandikwa huyo ni shabiki wa yanga!? Mimi sikuzingatia rangi hata kidogo.. Na je kama ni mwanaccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku hukuwezi kumekuzidi kimo baki huku ndio saizi yako



Hello wapendwa nipokeeni


Hii post ndio maana kumbe imekukwaza sana, mwanaume anayependa kuchat na mademu tayari hiyo ni shida kubwa sana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya hata humu ukikaa vibaya you'll be branded as mbea, wanaume tujitahidi sana katika hili.
 
unaona ulivyo jinga na mbea?

Sasa hizo nyuzi zinahusu nini hapa?acha utoto
 
unaona ulivyo jinga na mbea?

Sasa hizo nyuzi zinahusu nini hapa?acha utoto
Kwenye vita kuna kitu kinaitwa medani za vita sijui kama unazijua? Je umepitia walau mafunzo ya mgambo?
Kwenye boxing kuna tambo nyingi pia kwakuwa nayo ni mapigano na kwenye soka pia kwakuwa ni mashindano nknk

Sasa kwenye haya mambo yote akijitokeza mtu na tambo za kila aina mchunguze kwanza ili ujue ni mwepesi ama ni mzito kiasi gani!

Una post mbili zote zinazungumzia kuchat na mademu.... Ni lazima hii post ikuumize sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jewewe ulie tomb..a mamá mkwe tusemeje? chamdeko uliekuwa unafanya nae utapeli yukowapi?
 
jewewe ulie tomb..a mamá mkwe tusemeje? chamdeko uliekuwa unafanya nae utapeli yukowapi?
Asante kwa kuwa follower wangu naamini umejifunza mengi na una mengi ya kujifunza zaidi.. Hiyo post umbea wake ni upi sasa.. Na kubadilibadili ID ni dalili ya uoga ujue

Learn more young man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endelea kufatilia udaku insta na Twitter
sinachakujifunza kwako kizuri zaidi yakushangaa nakujiombea nikiwa Mzee nisiwe limbukeni wamitandao kama wewe
 
Asante kwa kuwa follower wangu naamini umejifunza mengi na una mengi ya kujifunza zaidi.. Hiyo post umbea wake ni upi sasa

Learn more young manView attachment 2768462

Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kufatilia udaku insta na Twitter ili update content yakuleta humu

sinachakujifunza kwako zaidi yakukushangaa na kujiombea nikiwa Mzee nisije Kuwa limbukeni wamitandao kama wewe.

badala ushinde great thinker unashinda kwenye udaku.

hii ndio shida yakuijulia mitandao ukubwani

Asante👏
 
Nimewauliza swali moja na wote mmeshindwa kulijibu ni kipi kinawafanya mdhani huyo ni shabiki wa yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…