simaniishi kuwa kuna vita, nataka hii kuongozwa na jinsia ambayo haijawahi kuongoza nchi yetu. Nina imani na unyenyekevu na busara za mama zinaweza kutusaidia. Wanaume tunakuwa na ubabe mwingi muda tunaharibu mambo. Jambo la msingi ni kumueleza kumtaka mama atekeleze vipaumbele vya jamii.
Aachane na ubabe na ujuaji wa watangulizi wake aunganishe taifa na kulipa uhai uliopotea kwa muda mrefu.
Aongoze CCM, serikali na wananchi wote kwa ujumla kuliletea taifa heshima kwa kujenga na kukuza uchumi na jamii yenye usawa. Ajenge misingi ya demokrasia itayowezesha taifa kujiletea maendeleo.
Jamani mwanamke ndio Rais wetu sasa tuachane na mifumo dume au jike tuhangaike kumaliza matatizo kama umaskini, katiba mbovu n.k