mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani
Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen
Badilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndiyo mwanamme wa kweli maana hana hela, anakuachia wewe unywe ulewe yeye akinywa maji.