Wanaume wanahesabika siku hizi

Wanaume wanahesabika siku hizi

Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani

Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen

Badilika


Sent using Jamii Forums mobile app


Huyo ndiyo mwanamme wa kweli maana hana hela, anakuachia wewe unywe ulewe yeye akinywa maji.
 
anasubiri ulewe akupeleke gheto ukapigwe mashine na masela wake kama 10 hv
 
Back
Top Bottom