wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

Ah ah dah sasa weye unatafuta mme au pacha wako kwani kuwa third year nfo hadi uwezo wa kupambanua mambo unakuwa hivyo..mwanaume sio kama kuchagua viatu na ukifanya mchezo utajikuta unagongwa na kuachwa na kuishia kutumika tu
 
ndio maamuzi lazima nifanye mwenyewe but i feel so bad!
 

Usisahau namna ulivyo ndivyo inapelekea hao wanaokufata wakufate,
 

vigezo vyako haba sana.........panua wigo utampata.......vinginevyo unatafuta mume wa kuimpress watu na si wa kukufaa wewe
 
Tafuta ambaye mnaweza kucompromise naye na siyo ambaye mnafanana!
 

Mmmmh...., sound sooo romantic.....!!!, Wapo humu Mwaya, utawapata tuu.
Hiyo phrase yako ya Mwisho unanikumbusha wimbo wa the late Angela Chimbaloza.., "Nataka Nifanane nawe"
 
Soledad meaning...; Solitude and loneliness

Follow your heart ukimpenda mtu hayo mengine yote ni minor au kama anayo its just a bonus.., mambo ya elimu (ndoa sio kwamba mnaenda kuandika thesis au ku-invent rockets) maisha ya ndoa na kuvumiliana its just basic stuff and common sense huitaji kwenda shule.., Pia issue ya age (unaweza ukakuta mtu kwa umri ni mdogo ila ni mature kwa akili), alafu kama wanaoku-approach hawafai basi wewe mwenyewe approach unaowaona wanakufaa (Seek and you Shall Find..)

By the way burudika na Soledad..

Soledad- Westlife (w/ lyrics) - YouTube
 


Hao wanaokufata wanakuona wewe ni sawa yao na ni wa status yao kabisaaaa! Ila wewe ndio hujitambui kama status yako inafanana nao! Jiangalie na ujipange upya!
 
Boss umenena kaka,na kwa sabababu ajajitambua simshauri atafute mme kwanza,cause hajui anaenda kufanya nini katika ndoa



jamani najua ndoa ni nini? unajua haujui ninvyojisikia mtu anaponifata niwe naye kila ktu tupo tofauti mfano mdogo kuliko mie , yeye kuna vitu haoni .
 
hamna ndugu yangu aliyekufa na ukimwi....sasa wewe hutaki mimi nimsaidie wakati sifa ninazo.....yeye sifa ya ukimwi hana ndo maana na mimi nimemkubali ingawa sijui sura yake

Akili yako kama ya joseph mkenya wa kamanda cover!!!!!
 
wa kufanana naye maana yake I can be with him alipopungukiwa naongezea and vice versa
 

hapo nilipo-bold na red color nahisi ndio tatizo lako linapoanzia ....

Karibu kwangu nikufundishe mbinu za kujilengesha kwetu wanaume...n for the time being naomba nikupe hifadhi huku ukisubiria mr. Right aingie mtegoni kwako coz will take you like 3 yrs ili uwe mke wa mtu..

Naongelea hapo utakuwa na 30yrs...na sio fresh at that age uende kwa mtu kama mke na maujuzi ya 6x6 huna...utapelekea mr wako awe anapiga mikazi ya nje kinoma... Tafakari chukua hatua
 
wa kufanana naye maana yake I can be with him alipopungukiwa naongezea and vice versa, so the problem is me and my attitude? let me work on it.
 

thats very sad to hear,lkn kama unawaona hao unowahitaji b a woman enough kuwaambia,this is 21st century,if real you have that love u saying,lovee is never a failure......................,dont be of such pride,forget the status thing and education,elimu inatusaidia kuelewa mazingira na si zaid ya hapo ........................
 
wa kufanana naye maana yake I can be with him alipopungukiwa naongezea and vice versa

Sawa tunataka kukupa ushauri,lakin naomba ujibu swali la boss unaposema status unaangalia vitu gan,unawezaje kuhusisha moyo na status na elimu,alafu unajua marriage is beyond hisia
 

ahahahaaaaa...leo umenifurahisha sanaa...listern up hny..huwa watu hawapati the perfecto match..but someone who you can perfect yourselves in your relationship...its a win-win situation or you loose some you get some...

Usitarajie mtu huyo kuja maishani kwako...unampata mwenye elimu ndogo unamfundisha na yeye anakufundisha katika kidogo akijuacho..coz u cant be a master in everything.

say wewe ni phd holder na mwenzako ni std 7 ila anaendesha kibajaji na wewe unaendesha v8 lako...then ili muweze ku-match utalazimika ujishushe uweze kuendesha kibajaji cha mista na yeye ajipandishe aburuze v8....then mnaanza kuwa best friends coz lazma mkiwa kwenye bajaj yenu mtaongea lugha za kibajaji kama kutanua, kuchomekea, kula winga etc...na mkiwa kwenye ji-v8 lako mtaongea lugha hizo zaq humu ndani kama a/c, sijui nini jinininii...

umenielewa enheeee?
 
Sorry to say but you are among the ****** ambao mnafikiri kuwa na degree ni sehemu ya kigezo cha mapenzi! Kudadadeki na utaendelea kuuza sura sana! My little knowledge inaniambia kwamba education, economic status and all the likes ambazo umemention si kitu kwenye mahusiano! I have seen many people happily living with partners who are not even their level in education and fiannce!

Tatizo ni wewe! I am warning you, soon you are 30yrs Mungu wangu, Nyago itakuwa mbaya kiasi hata hao unaowatema hawatatokea tena instead watakuja kuchimba mgodi na kuondoka zao, actually utafikia mahali utakuwa unawalipa wanaokugusa ili upate na wewe raha ya unyumba if you dont change!

CHUNGU DADA LAKINI DAWA CHUKUA HIYO YAKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…