wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!


Kula tano..wewe una hekima na bonge la mshauri
 


Hellow Mdada,
Kwanza kunywa maji mdogo wangu alafu unisikilize,nataka nikupe perspective ya kike katika hili.Shost usichague sana but don't lower your self too much.You deserve the best baby girl,you are the flower and you have the power.
Mwanaume uliyemzidi umri na status (education,finances and social status)anaweza kukufaa ila anaweza kuwa na inferiority complex ikawa tabu tena.Inafika mahali unaogopa hata kum-introduce Mr. kwa mashost au kwa colleagues kazini unaona aibu kha nani anataka hy.Hii pia ina angalizo,unaweza kuwa na Mwanaume anakuzidi umri lakini zuzu hujapata kuona mfano wake,hana mtizamo wa kimaendele hata.Anaweza kuwa na financial status nzuri lakini selfish hutakaa uone cent yake.
Hakuna kuchelewa katika hii sector,endelea kumwomba Mungu akupe huyo wa kufanana nawe ila hata mkipishana isiwe saana. Nimesoma wengi wanakwambia eti ngoja ufike 30 sijui itakuwaje,hao bado wako karne za kale,katika developing world what matters ni happiness ya maisha sio kuoa/kuolewa katika umri flani kwa sababu ni destri.Wangapi wamefanya hivyo na ndoa zao ni kwishne sasa hv.
Tatizo la baadhi ya wanaume ni uoga wa kuoa mtu mwenye status flani,ila wako wanaume wa ukweli wanaojiamini hili kwao si tatizo.
Japo kuna watu humu wanasema elimu,fedha havina nafasi katika mapenzi sikubaliani nao asilimia zote.Kuna raha mnapokuwa confortable,mwanaume anaprovide inavyotakiwa,u speak the same language na mna mitazamo inayoendana.Kila la kheri shost.
 

Inavyoonekana hata ukifanikiwa kuingia kwenye maisha ya ndoa yatakusumbua sana. To have a great marriage you must learn how to compromise. You need to make concessions in your life. Kwa maandishi yako unaonekana kama vile you’re working to create a perfect marriage. Ndiyo maana you’re resisting the temptation to compromise on certain things.

I am not saying that if you’re working towards creating a perfect marriage, then you should lower your standards to accomplish it. But if you’re better off not compromising yourself to yourself, then you certainly aren’t better off compromising with any prospective spouse.

Napenda spouse wangu awe rafiki yangu. Lakini kuwa rafiki haina maana kuwa “tufanane hata tuvyoona mambo na kufikiri yaani hata tuwe tunazungumza lugha moja mitazamo inaenda pamoja tusaidiane pamoja kufikia our vision”. Eti kwa vile wewe unatumia Internet Explorer, basi hutaki kuolewa na mtu anayependa kutumia Firefox or Chrome.

Kwa vile wewe ni shabiki wa Simba basi unataka mume ambaye pia ni shabiki wa Simba ili msaidiane pamoja kufikia your vision ya kuchukua ubingwa kila msimu? Halafu Simba akifungwa, nani atampakata?

Inawezekana labda niko wrong. Jana FP kafikisha miaka 13 kwenye ndoa labda anaweza kukupa first hand experience kama she had to make some compromises kwenye maisha yake ya ndoa mpaka kufikia zaidi ya decade: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/335131-wedding-anniversary.html
 
Last edited by a moderator:
What i know ni kwamba mapenzi sio material things
na wala sio Age,status,urembo n.k
kuiendekeza ivyo utasubiri sana

hao wanaokufuata ndo level yako zats y wanakufuata...
Hao unaodhani ww kwamba wana status sio level yako ndo maana wanakupita km hawakuoni

What i can see here is Soledad huna mapenzi unayosema unataka kushare na mwanaume labda kama unataka kushare nae status!!

ngoja nirudi nikwambie nini maana ya mapenzi labda utabadilisha mtazamo

nakuja!
 
Loading.......
 


Personality yako ikoje!! (Gold-digger, Miss 69, Hooker, Lesbian or ????)
 
usijali na wala usijisikie vibaya . utafanikiwa ila sikiliza moyo wako :A S 465:
 
Hana lolote huyo ni nunganyembe tu anajifanya kutaka ushauri kumbe ndo anatafva mwanaume ungekuwa m'ke wa maana ungekuwa ushapana bwana subiri w'me wasiojua kutongoza wataku pm
 
Kwanza wewe ni nani?
Elimu yako ni ipi?
Kazi yako ni nini?
Na una status gani hapa mjini?
Nitarudi niko kwenye foleni
 

you again lol
 
Mmmh au ww ndio huvutiii hahah kwa dunia ya leo na mlivyo wengi all places are booked tafuta alie oa akusaidie

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sifa zako ni zipi? Uzitakazo zipi? Ninauhakika nimekuzidi kila kitu isipokuwa labda uchumi. Mimi pia sifai?
 
vema umesema mwenyewe kuwa Mungu humpa mtu mke/mume afananaye naye. kwa nyongeza Mungu haharakishwi au kulazimishwa. kuna mawili, anaweza akakupa kwa kuchelewa au asikupe kabisa. je mtamgeukia shetani ili aharakishe matakwa yako au uko tayari kusubiri uamuzi wa Mungu?
 

Fanya maamuzi magumu. Tutafutane
 
Chagua sana mwishowe utachagua koroma badala ya nazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…