wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!. sasa tukusaidie nn jibu moja tu; chukuwa atuwa means that wa approach wewe mwenyewe(tongoza we mwenyewe nadhani utakuwa unamuona mwenye vigezo unavyo vitaka)
 

taja kabila lako na elimu gan umesoma
 
Kweli wao hawafanani na wewe,lakini wewe unafanana nao ndio maana wanakuaproach,wewe si unataka wanaofanana na wewe,na wao pia wanataka wanaofanana na wao,so wewe unafanana nao,ingawaje wao hawafanani na wewe!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Soledad, usually mtu unavyojiweka, unavyoact na unavyo appear inadetermine watu gani watakufuata, inaweza isiwe 100 % lakini in most cases ni hivo unless mtu tofauti na unaowaatract awe amekusoma kwa mda na amepata chance ya kukujua wewe kama wewe.
 
Mi nakushauri usome sana,halafu uje umuumbe huyo mtu mwenye kufanana nawewe. Au
Nenda sewa au kimboka utawapata
 


UKE WENZA UNAUWEZA??
NIJIBU NIKAJADILIANE NA MKE WANGU TUKUKARIBISHE KWENYE FAMILIA YETU TUGAWANE MAPENZI BINTI
:smile: :smile:
 
Dada take care sana na hizo status coz utampata mwenyenazo lakin hutajua kama kakupenda ndo utakapo kuja juta mara 2 zaid, nakushaur chek age yako fanya maamuz then maisha yataenda.
 
wanaume, kusoma hamjui na picha nyao kuzama mkajua kama huyu ni jk kapanda guta napo tabu?? hebu mueleweni huyu dada na mumsaidie kukidhi yake haja!

1. hebu mpe mbinu ulizotumia wewe kuchagua mwenza..
2. akiwa na marafiki humohumo ndio atapata mchumba lakini akitafuta kwa jua na tochi hakawii kupata koroma kama Mr Rock alivyosema
 
Dada angu always love is naturally, unavyopendwa angalia mume huyo ana malengo mazuri na wewe?jamani fahamu mapenzi na status? hebu tuzipotezee! hv ukitaka mwanaume mwenye elimu sawa au kakuzid itakufaidia nini ikiwa hana mapenzi ya dhati? kwani ni dhambi mwanaume au mwanamke, kuoa au kuolewa na mtu mwenye elimu ya juu au ndogo ikiwa ana mapenz ya dhati? take care my ccter me nataka kukwambia now days angalia mwanaume mwenye mapenzi ya dhati nawe, dont matter level ya education!maisha mnayamake endapo wote mna mapenzi ya dhati! uchaguzi mwema!
 
Mwanaume hasifiwi sura dada, mwanaume anasifiwa kwa kazi na kazi ndio heshima na utu wake na kingne cha mhimu kwenye ndoa ni amani na upendo na hilo watu wengi wanalitafta hawapati na wanajuta, majumba unayoyaona wewe yaone hivo hivo yanaficha mambo meengi mno..chukua yeyote uishi maisha yenyewe haya bado una dilly dally?!!
 
soledad, at your age wanawake wengi wanafanya bold decision coz biological clock doens't wait. Tafuta hata ambaye anafadhali katika hao haiwezakani wote hammechi kabisa. Life si too short unfortunately isn't fair either.
 
Wewe fanya maamuzi yakipekee.mwenyewe........

mke au mume bora hutoka kwa mungu yani ww wala huwezi kufanya machaguzi maana hayatakusaidia lolote ndani ya ndoa yako.kama hujabarikiwa kuwa na mtu huwezi kufaidi iyo ndoa yako yani unafanya mambo kidunia zaidi kuliko kiroho yani utajuta na unayoyatafuta.
 

mke au mume bora hutoka kwa mungu yani ww wala huwezi kufanya machaguzi maana hayatakusaidia lolote ndani ya ndoa yako.kama hujabarikiwa kuwa na mtu huwezi kufaidi iyo ndoa yako yani unafanya mambo kidunia zaidi kuliko kiroho yani utajuta na unayoyatafuta.
 
TIME will give you the 'right' husband. Mark my words.
 
am above your age,am about to finish my Masters degree,vp nakufaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…