wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

duh umenikumbusha mbali sana na usipo kua makini umri unazidi sogea na quality inazidi shuka aliekudanganya utapewa wa kufanana na wewe ni nani bhana unadhani umemtengeneza?
MWANAUME; ni kama shamba kiwanja yani daily soko lake linazidi panda VS MWANAMKE;ni kama sijui niseme soko la simu tena TECNO
saivi ukipata hata chizi we mchukue tu mtabadilishana huko mbele don waste time
 


Aah! wapi sijakosa kihivyo, niliamua tu kuweka hii thread nione views za wana jf, siwezi kumchukua chizi lo!
 

ehee kumbe ni ivyooo, mi nimekuzidi kila ki2 ilaa......
 

Weeee sio mimi,hata ujiweke kama nini,akilia zangu zikisema kamata hiyo,nakula nawe sahani moja siangalii makunyanzi
 

nipo mm naendana nawewe kama vip ni PM tulonge
 
usipoangalia utazeeka una "select", huwezi kupata mtu 100% mko sawa!! we tizama vigezo vya "mume bora" sio hivyo vyako!!
 

pole sana, muda haukusubiri. BADO HUJAJUA UNACHOHITAJI.
 

mbona umetumia maneno magumu namna hii????
 
Stupid people fail to differentiate btn academic intelligence and financial intelligence
hivi vitu ni vitu ambavyo ni vya kutafuta na hamna anayezaliwa navyo.
Mi nafikiri kwamba tafuta mtu mnayeendana halafu unasaidiana naye kam ni
kumuicaurage aende shule au kitu kingine la sivyo itakula sehemu muda haumsubiri
mfalme shauri yako.
 
Thanks for ua advice, now I know what I need, hii thread ya long time, I have already solved the issue
eee hongera! tuambie huyo shemeji yukoje maana wengine ndiyo tunaiona thread na tulitaka kurusha ndoano.
 
badilisha viwanja kama ulikuwa unajiachia lunch time uswahilini.......badilisha nenda sehemu expensive,it might cost you a fortune but it will guarantee you the best results....lol:madgrin:
 
sasa mungu atakupaje wakati wewe msomi utaki walemavu wa elimu?????Mdada vp...suala zingatiaaa age elimu majaliwa/.....jitambue unataka nn?unataka ndoa au elimu?ndoa au umaarufu?ndoa au status?ndoa au mali?ndoa au majivuno?kipi wataka ww mtz...utasubiri sana mdada amua......acha kuomba kwa vigezoo upati ngoo..ila kama unataka ndoa nasio vingine amua leo na utaonaaaaa....zinduka ww bhana achana na maisha ya kuigaaaa bali igwaaaaaaaa:A S clock::A S clock::A S clock:
 





Thank u, nimesikia jamani halafu hii thread ya muda sasa, nimeshampata wa kufanana na mie, thank u any way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…