Lazima uwe mkali arifu watoto walelewe kwenye maadilisecretarybird siku hizi siangalii maisha ya watu, yaani mtu hata atembee uchi ama avue ngozi kabisa atembee huku viungo vya ndani ya mwili viko wazi wala mimi sikemei.
Lakini kwa watoto wangu nitakuwa mkali kama wembe.
Monetary doctor Mbaga Jr mzabzab Poor Brain
Kuna sijui niseme kijana au baba ila hakosi 37 alipeleka kioo chake kwa mafundi wa aluminum basi pale kashuka kwenye gari lake kipensi kiko juu ya mapaja huku kuinama akitoel kila kioo wasaidiane na yule fu do mstari wa makalio unaonekana, Yan kiukweli yule jamaa nilimuona wa ovyo mpk basi, yule fundi alibaki kumuangalia tu yule jamaa, kiufupi kuna wanaume wana ujinga na hapo akiongozana na kidem chake mapaja wazi unawaona wenda wazimuHiyo ya vipens nimeiona dar looh hata kama ni uzungu ni too much tamaduni za kipuuuz unakuta mtu yupo kwenye gar safiii akishuka Yuko na boxer [emoji2959]
Acha kupangia watu maisha yao.
[/QUOT
Hata Mimi nashangaa, jamaa Mmoja kavaa boxer anaendesha baisikeli,kasimamia anaongea na simu, Noma wakina dogo.Siku hizi imekuwa desturi kwa baadhi ya wanaume kuvamia fasheni na tabia za kike hadi inaleta wasiwasi. Unamkuta mwanaume kipande cha baba amevaa kipochi cha kike anazurura nacho mtaani hadi unashangaa huyu jamaa vipi? Amerogwa, ni shoga au amezidiwa na homoni za kike?
Hivi hawa wanaume wanaovaa vipochi, tena wanamechisha kabisa, na kutoka navyo mitaani wana nini lakini jamani? Kwanini mtu uvae vitu vya kike? Wengine wanafikia hatua ya kuvaa bangili mikononi mwao. Lakini kuna wanaoenda mbali zaidi hadi kutoga masikio na pua na kuvaa hereni na vipini, mtawalia. Au unamkuta mwanaume kajichafua tatoo mwili mzima utadhani mwali kajipamba kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa ndoa. Je, tukisema kwamba hawa wanaume wana homoni za kike au ushoga tutakuwa tumekosea?
View attachment 3264764
Inashangaza na kusikitisha unakutana na mwanaume kajipaka marashi yananuka mtaa mzima. Yaani unapishana naye unakwenda hatua zaidi ya 100 bado unasikia harufu ya marashi? Ukiwabana watu wa aina hii watakuambia eti wamejipaka marashi ya kiume. Ebo!
Kana kwamba haya yote hayatoshi, kuna wimbi kubwa la wanaume wanaotaka kuhalalisha uvaaji wa bukta na boxer na kuingia nazo mitaani. Hivi mwanaume mzima unavaaje bukta unaenda nayo hadi sokoni na kwenye maeneo ya mikusanyiko ya watu na bado unajiona uko sawa? Kama kawaida yao, ukiwauliza kwanini wanafanya hivi watakuambia wanavaa bukta za kiume sio pensi za kike. Kama vipi basi watengenezewe papuchi za kiume wawe wanagawa uroda, isiwe taabu.
View attachment 3264765
Nchi hii ina baadhi ya wanaume wa ovyo na wenye tabia na akili za kike na kishoga kuliko kawaida. Serikali isipoingilia kati na kupiga marufuku huu ushenzi, miaka michache ijayo tutakuwa na taifa la ovyo sana.
Huna maana,maana hao ndio watakuwa rafiki wa watoto wako!Kemea.secretarybird siku hizi siangalii maisha ya watu, yaani mtu hata atembee uchi ama avue ngozi kabisa atembee huku viungo vya ndani ya mwili viko wazi wala mimi sikemei.
Lakini kwa watoto wangu nitakuwa mkali kama wembe.
Monetary doctor Mbaga Jr mzabzab Poor Brain
Ndio mkuu napenda makala zako ndefu ila font hizo ni tatizo, andika kawaida tu. Zamani GENTAMYCINE nae ilikuwa hivyo hivyo naona yeye naona alibadilikaPole sana mkuu. Ngoja niikuze
Sana mkuuOk makutupora uko wap mzee?
Hapo pensi Haina shida jua mwili wako basi, sio una haga kumzidi ashura unatuvalia vinjunga,
Lazima uwe mkali arifu watoto walelewe kwenye maadili
Mtoto naejielewa vizuri hawezi kuiga Kila kitu ambacho rafiki yake anakifanya.Huna maana,maana hao ndio watakuwa rafiki wa watoto wako!Kemea.
Ila sasa wanavyotukana wanawake kuwa hawana maadili! Unaweza fikiri upo wanawake watupu kumbe eti na wanaume wapo kapiga hereni kabisa 😭😭 duuSiku hizi imekuwa desturi kwa baadhi ya wanaume kuvamia fasheni na tabia za kike hadi inaleta wasiwasi. Unamkuta mwanaume kipande cha baba amevaa kipochi cha kike anazurura nacho mtaani hadi unashangaa huyu jamaa vipi? Amerogwa, ni shoga au amezidiwa na homoni za kike?
Hivi hawa wanaume wanaovaa vipochi, tena wanamechisha kabisa, na kutoka navyo mitaani wana nini lakini jamani? Kwanini mtu uvae vitu vya kike? Wengine wanafikia hatua ya kuvaa bangili mikononi mwao. Lakini kuna wanaoenda mbali zaidi hadi kutoga masikio na pua na kuvaa hereni na vipini, mtawalia. Au unamkuta mwanaume kajichafua tatoo mwili mzima utadhani mwali kajipamba kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa ndoa. Je, tukisema kwamba hawa wanaume wana homoni za kike au ushoga tutakuwa tumekosea?
View attachment 3264764
Inashangaza na kusikitisha unakutana na mwanaume kajipaka marashi yananuka mtaa mzima. Yaani unapishana naye unakwenda hatua zaidi ya 100 bado unasikia harufu ya marashi? Ukiwabana watu wa aina hii watakuambia eti wamejipaka marashi ya kiume. Ebo!
Kana kwamba haya yote hayatoshi, kuna wimbi kubwa la wanaume wanaotaka kuhalalisha uvaaji wa bukta na boxer na kuingia nazo mitaani. Hivi mwanaume mzima unavaaje bukta unaenda nayo hadi sokoni na kwenye maeneo ya mikusanyiko ya watu na bado unajiona uko sawa? Kama kawaida yao, ukiwauliza kwanini wanafanya hivi watakuambia wanavaa bukta za kiume sio pensi za kike. Kama vipi basi watengenezewe papuchi za kiume wawe wanagawa uroda, isiwe taabu.
View attachment 3264765
Nchi hii ina baadhi ya wanaume wa ovyo na wenye tabia na akili za kike na kishoga kuliko kawaida. Serikali isipoingilia kati na kupiga marufuku huu ushenzi, miaka michache ijayo tutakuwa na taifa la ovyo sana.
Umewahi fika katavi na usukumani? Wale jamaa wanavaa sketi za kanga au vitenge, banging etc . Na jamaa hawana habari kabisa, na jamii inaona kawaida tu. Fiji wanaume wanavaa sketi.Hawa wahuni tusipowadhibiti wataanza kutuvalia sketi. Bora tuwabane mapema kabla hawajaharibu kizazi kizima.