Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 922
- 692
Inasikitisha sana mkuu mbaya zaidi wao ndo wana ushawishi makubwa kwa vijana.Akina Diamond na genge lake wao wanapaka hadi lipu shaina na lipu sitiki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana mkuu mbaya zaidi wao ndo wana ushawishi makubwa kwa vijana.Akina Diamond na genge lake wao wanapaka hadi lipu shaina na lipu sitiki!
Sasa ndo nimesema nani anajali hilo? Kwani hakuna hata anayetaka kukanyaga kwake. Ni vile anajistukia tyuuh.Mkuu naona umeshindwa kumuelewa mtoa hoja. Yeye amewazuia kutokanyaga nyumbani kwake tu sio mtaani. Shida iko wapi mkuu?
Bila shaka. Nikisha tulia jioni baada ya mikiki.Karibu umalizie story yako ili tuweze kubalance mzani mkuu.
Ni kweli, ukiangalia historia za makabila mambalimbali ya Africa, watu walikuwa wanafunika utupu tu. Tena wanaume shupavu aka worriers walikuwa wanaonyesha misuli yao na hawakuwa wanavaa sijui shati. Wazungu na waarabu ndio walioleta Tamaduni za mavazi afrika.Ukifanya upekuzi na utafiti kwenye mitandao mikubwa(search engines) kama yandex gugu etc na ukatafuta kwa maneno haya machache ya kidhungu
"Scantly dressed African"
[jaribu kutafuta in antiquty] ama hata before colonization ama
kutoka kwenye journals na barua n.k kutoka kwa baadhi ya Wakoloni waliowahi kufika Africa, utagundua hakuna jipya hapa.
Wazungu wametuiga kuvaa vipensi vifupi, kuchora tatoo n.k, kutoboa pua, kuvaa vito vya thamani ikiwa ni pamoja na kuvaa bangiri na hereni kadha wa kadha Wazungu hata kuonyesha matiti kwa wanawake ilikuwa ni kama unatenda dhambi(tambua mpaka kunyonyesha mtoto hadharani walipiga marufuku huko kwao).
Tukija kwa wanaume ndio vile tena, muonekano wa mtu mweusi, hakika, unawasumbua. Mtu ana misuli, yuko cut, six pack natural na ngozi ipo glossy! Sasa hata wale wanaoshindana kwenye mashindano ya kunyanyua vyuma kama the Arnolds, unawakuta wazungu wamejipaka rangi(sun tan) ili waonekane kana wana ngozi nyeusi-which accentuates-ili waonekane kama ni 'wagumu'😅
======nitaendelea====
Ni vizuri utaratibu wa jando ukarudishwaWanaosuka nimewasahau mkuu. Ngoja nikawaongeze kwenye orodha.
Kwahiyo unasema hata kujivika mavazi tulikuwa hatujui😅😃 sasa hata kufunika utupu unataka kutulagai kwamba sio vazi?😂😂😂Ni kweli, ukiangalia historia za makabila mambalimbali ya Africa, watu walikuwa wanafunika utupu tu. Tena wanaume shupavu aka worriers walikuwa wanaonyesha misuli yao na hawakuwa wanavaa sijui shati. Wazungu na waarabu ndio walioleta Tamaduni za mavazi afrika.
Kwahiyo unasema hata kujivika mavazi tulikuwa hatujui😅😃Ni kweli, ukiangalia historia za makabila mambalimbali ya Africa, watu walikuwa wanafunika utupu tu. Tena wanaume shupavu aka worriers walikuwa wanaonyesha misuli yao na hawakuwa wanavaa sijui shati. Wazungu na waarabu ndio walioleta Tamaduni za mavazi afrika.
Hapana. Nilichoandika sio story labda useme wewe ndie umeandika story tena ya kujitungia😂Karibu umalizie story yako ili tuweze kubalance mzani mkuu.
Hapo sawa mkuu, cha muhimu usiache kunukia vizuri. Kuna perfumes za kiume nzuri kweli ikiwemo Now na 9pm, mwanaume akipulizia akapita lazma ugeuze shingo😅, harufu zake hazikeri.Hahahaaa hamna mkuu, labda hiyo kunukia mara moja moja huwa nanukiaga ingawa sidhani kama huwa inafika kwenye kiwango alichosema jamaa hapo juu.
😂😂😂cha msingi msiache kunukia jaman, sio harufu za vanilla na strawberries hapana. Tuharufu flank tuzuri twa kiume😂😂😂Ndio zake huyo🤣🤣🤣
Unawadhibiti wewe na nani? Unawabana vipi?Hawa wahuni tusipowadhibiti wataanza kutuvalia sketi. Bora tuwabane mapema kabla hawajaharibu kizazi kizima.
Kunukia muhimu mkuu... Itabidi niongeze hizo ulizozitaja ili nikipita wageuke😅😅😅Hapo sawa mkuu, cha muhimu usiache kunukia vizuri. Kuna perfumes za kiume nzuri kweli ikiwemo Now na 9pm, mwanaume akipulizia akapita lazma ugeuze shingo😅, harufu zake hazikeri.
Fanya hivyo mkuuKunukia muhimu mkuu... Itabidi niongeze hizo ulizozitaja ili nikipita wageuke😅😅😅
Mnavaa vipensi vifupi kama chupi inatia kinyaa. Vaeni zinazofika kwenye magoti