Wanaume wanaofakamia fasheni za kike ni dalili za ushoga?

Vpochi imekuw fashion san , vjan wanavbena hadi unajiulz wamewek nn zaid ya smartphone na kitambaa cha mafua , mwingine anawek na pyfyum asee kizaz kinaisha
Ni katika kushindana na Wazee wa Haki Sawa.
 
Watu mnachekesha hatarii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Ukifanya upekuzi na utafiti kwenye mitandao mikubwa(search engines) kama yandex gugu etc na ukatafuta kwa maneno haya machache ya kidhungu

"Scantly dressed African"
[jaribu kutafuta in antiquty] ama hata before colonization ama

kutoka kwenye journals na barua n.k kutoka kwa baadhi ya Wakoloni waliowahi kufika Africa, utagundua hakuna jipya hapa.

Wazungu wametuiga kuvaa vipensi vifupi, kuchora tatoo n.k, kutoboa pua, kuvaa vito vya thamani ikiwa ni pamoja na kuvaa bangiri na hereni kadha wa kadha Wazungu hata kuonyesha matiti kwa wanawake ilikuwa ni kama unatenda dhambi(tambua mpaka kunyonyesha mtoto hadharani walipiga marufuku huko kwao).

Tukija kwa wanaume ndio vile tena, muonekano wa mtu mweusi, hakika, unawasumbua. Mtu ana misuli, yuko cut, six pack natural na ngozi ipo glossy! Sasa hata wale wanaoshindana kwenye mashindano ya kunyanyua vyuma kama the Arnolds, unawakuta wazungu wamejipaka rangi(sun tan) ili waonekane kana wana ngozi nyeusi-which accentuates-ili waonekane kama ni 'wagumu'😅

======nitaendelea====
 
Mwanaume kunikia ni vyema, ila kuna tupafyumu twa bei rahis tunanukia mpaka inaumiza kichwa😂
Ni kweli, perfume ambazo hazina majina ya kueleweka huwa zinakera sana😂
 
Karibu umalizie story yako ili tuweze kubalance mzani mkuu.
 
Ndio Mkuu mleta uzi anamaanisha kuwa marashi ya Mwaname ni harufu itokanayo na kwapa lake mwenyewe huyo ndiyo mwanaume kamili🤣
Sasa mwanaume unajipakaje marashi yananuka mtaa mzima? Na wanawake watafanya nini?
 
Aisee Dunia ina mambo, kuna hawa awanaotoboa masikio na pua na mbaya zaidi hii inafanywa na watu wanaotambulika kama kioo cha Jamii, katika Dunia hii ukifanikiwa kutambua nafasi yako inatosha mengi yanakanganya katika uhalisia wa maisha.
 
Aisee Dunia ina mambo, kuna hawa awanaotoboa masikio na pua na mbaya zaidi hii inafanywa na watu wanaotambulika kama kioo cha Jamii, katika Dunia hii ukifanikiwa kutambua nafasi yako inatosha mengi yanakanganya katika uhalisia wa maisha.
Akina Diamond na genge lake wao wanapaka hadi lipu shaina na lipu sitiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…