Wanaume wanaofakamia fasheni za kike ni dalili za ushoga?

Bas jamii ikiharibika utawezaje kulinda wanao ambao pia wapo kwenye jamii hiyohiyo.!?
Nimeshasema nitawafanya watoto wangu wawe na msimamo thabiti na kuwapandikizia roho ya kutoiga Kila kitu wanachokiona. Kumbuka hii dunia ni ya utandawazi ambapo jamii yako inaweza isiharibike lakini mtoto wako anaweza kuharibika kutokana na mitandao ya kijamii kama hujamfanya kuwa na msimamo so unatakiwa ku-deal na watoto wako kwanza.

Sawa sawa!
 
Tanzania inazaidi ya kaya binafsi Milion 14+
Iv unategemea ulivyolelewa wewe ndo wenzako pia wamelelewa ivyo
Unazani malezi yako ni sawa na wengne,imani yako ,mitizamo yako,misimamo, mira desturi na tamaduni zako unazani ni sawa na wengne

Jifunze kuishi kulingana na nafasi yako acha kupangia watu wengne jinsi ya kuishi
Watanzania ni zaidi ya watu milion61
 
Yaani adili na watoto wake tu.
Eti anarekebisha jamii!
 
Hivi mwanaume rijali kabisa utavaaje kipochi cha kike na kudunda nacho mtaani?
 
Alafu kuna hawa wanaovaa suruali za kubana kwa kisingizio cha slim fit, vitako vinabana, pathetic kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…