ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,143
- 17,639
No one could have said it better.Kutafuta bikira sana ni aina fulani ya U Taliban.
Hizo vurugu tumewaachia watoto wa sekondari mkuu!Unapokua huna wanachokitaka watu unatafuta confidence zone!
Lakini kazi ya kuhangaika na bikira ngumu kinoma. Kwanza mnahangaishana mpaka ajue mchezo, bado atakung'ata.!!
Akuparue na kucha!! Huu mchezo niliachaga zamani. Ni mwendo wa kupambana na wakongwe tu. Unamnunulia bia anajua kinachofuata.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
TOLEWA BIKRA NA MWANAUME WAKO NDANI YA NYUMBA YAKO.Time waster!
please don't waste my time!
Kama ungekua observer mzuri, ungeshajua wanawake wengi hawawapendagi waliotoa bikira zao sembuse kuolewa nao?
This is my last post to you! bye
Mschana A bikra alokuja kutolewa uschana wake ndoani. Yeye mchumba wake wali kua wanazenguana nakugombana.Kuhusu kutendwa hapo sio. Unakuta msichana yuko na boyfriend na ameshampa masharti ya kutogusana lakini mwanaume kichomi. Kutendwa na sexual relationship are inversely proportional
Rebecca 83 , issue ya virginity Kama wengi wanavyoizungumzia sio kwa kuwa muweze kuendana size Ila sababu kubwa ni uaminifu na hii kisayansi inaelezeka .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke kuwa bikra haina maana hajadate mtu mwingine zaidi ya mumewe, anaweza kuwa nae na wanaume wengine ila mahusiano yao hayakuhusisha ngono, kwa hiyo kama ni kuumizwa wao pia wanaumizwaMschana A bikra alokuja kutolewa uschana wake ndoani... Yeye mchumba wake wali kua wanazenguana nakugombana.
Mschana B ametolewa Bikra namiaka 16 , amekuja kuolewa na Miaka 28, hapo katikati amekua na wanaume tofaut tofaut 4--8 ..nakila mwanaume aliishia kumchezea na kumuacha.
Ktk hawa wawili, ni yupi aloumizwa kihisia kiasi cha kuchukia au kuathiri maisha yake ya baadae kimahusiano?
Ulishwahi sikia Bikra anasema 'Sitopenda tena? au nawachukia sana wanaume? Au Sasa hizi siwez penda ,au siku hizi naishi nao wanavyotoka...au Akizengua namie nazengua?
Ulishwah sikia izo kauli toka kwa bikra? hii inamaana gani? Matokeo yake, Wanawake wengi waloumizwa kihisia na wanaume walotembea nao, huja kuishia kua Mguu ndani, mgumu nje , mwisho nmejikuta mnawapa mapenzi nusu nusu wanaume wenye udhat kwenu. Na hatimaye wanaume hao hujiona kama hawapendwi nawao hujikuta wanajiondoa taratibu.
Mbona simpo tu.
Ila ni kweli mabinti wanatumika sana mpaka wanakuwa mapipa kule chini.Ulijuaje kua wana Vibamia?
Utamuona mwanaume ni kibamia kutokana na umbo la chungu chako..
Kama Mileage imeenda sana hata ukiwekewa mwichi bado utaona kibamia