Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Mda mwingine confidence inatoweka kwa sababu unakuta man kaingiza dudu anakuta inapiga mbizi tu. Hapo hapo confidence inatoweka na kuanza kufikiria kwamba uyu demu alikuwa kicheche. Mwisho wa siku tunaona heri kugonga chapa ilale.Vibamia ndio hawanaga confidence na maumbo yao ndio maana wanakwepa wanawake.
By the way huitaji kuwekewa mkwichi kufikishwa kileleni. Mapenzi ni Art ndugu, and second sio vibamia per se bali ni CONFIDENCE issues. Kama una kibamia mara nyingi confidence inakua ndogo.
Lastly i think una kibamia too..lol...haiwezekani ume pick hio point ya vibamia ukaacha the rest, [emoji28][emoji28][emoji28]
Heshima ya mwanamke ni kumtunza mume wake vizuri.
Oa kwanza ukae kwe ndoa angalau miaka 5 ndo utajua nafasi ya bikra kwenye ndoa. Sasa hivi akili yako inawaza changamoto ya kugongewa mke tu ndo maana bikra kwako ni muhimu sana ila ukishakua na ndoa utagundua mengi kuhusu mwanamke, awe bikra au si bikra. Ukipata mtoto wa kike utagundua mengi zaidi kadri anavyokua.Kusex na Wanawake lundo nayo ni Sifa ?
Ukweli ni kwamba, Wewe kama sio Bikra basi tambua kwamba ukija olewa, umeolewa na Mwanaume ambaye hakua wako, na kwa maana nyingine, utampatia kazi huyo mwanaume yakujitahidi kukuridhisha WEWE . nahuo ndo mwanzo wa Kuanza kumlinganisha linganisha na Mbooo ulizokutana nazo wewe.....
Kuna mmoja alitoa Uzi analaumu wanaume wa kilokole ,et Mumewe mlokole yuko zero kimahaba.
Lkn alisahau yakua,, kuruka ruka na wanaume ovyo, kumempa Roho na uzoefu ambao huyo Mlokole alokulia ktk maisha yake ya kilokole imempa ugumu..
Sasa kosa La nani?? Wewe binti ulianza ngono namiaka 15 au mlokole aloamua kujitunza mpaka Ndoa?
Alafu , Mwanamke Bikra hana uzoefu wowote linapokuja suala LA kutendwa na kuumizwa, nahii inamchango mkubwa sana ktk maisha yake ya kimahusiano.
Kajiepusha na PID, magonjwa ya zinaa, n.k
Hajawahi Toa mimba.
WEWE MWENYEWE UNATAMAN YULE MWANAUME WAKO WAKWANZA, NDIO UNGEKUA NAYE MPAKA SASA !!!
Wewe Utasema yoteee, UKWELI NIKWAMBA BIKRA ATABAKI KUA BIKRA....semea tatizo liko kwetu sisi wanaume kushindwa kuthamin hiyo kitu...
Umri wangu...27--30..Sijaoa, Msukuma ,mashine ipo , Nmeajiriwa,Nina maisha yangu binafsi, mjasiriamali, mkulima, mweusii, Mwonekano wa Kiume...PAMOJA NAHAYA YOTE, SITOKAAA NA NITAKUA MWANAUME WA MWISHO KUKUBALIANA NA UPUUZI ULOANDIKA.
Waelimishe hawa hawaelewiOa kwanza ukae kwe ndoa angalau miaka 5 ndo utajua nafasi ya bikra kwenye ndoa. Sasa hivi akili yako inawaza changamoto ya kugongewa mke tu ndo maana bikra kwako ni muhimu sana ila ukishakua na ndoa utagundua mengi kuhusu mwanamke, awe bikra au si bikra. Ukipata mtoto wa kike utagundua mengi zaidi kadri anavyokua.
Una umri mkubwa kiumri ila huna experience mkuu. Ulivyoongea tu kuwa utatoa mahari zaidi kwa mwanamke bikra nikafahamu huna experience ya maisha ya mahusiano.Narudia kusema, Hapo ulipo unataman sana alokutoa bikra ndo angekua Mumeo, Sanaaaa labda kama ulitolewa na Muhuni haeleweki nakm ulitolewa ukiwa na mdogo kiumri .
Sikia, Mimi Sijaoa, Ila nipo tayari kumtolea Mahari Mara tatu zaidi mwanamke bikra
Ikiwa Kuzaliwa kwa Yesu alitafutwa mwanamke Bikra, Je Mimi ninani?
Hehehehehehe !!Semea Kwamba Upendo na mazingira unatalizimu kukubaliana .
Lkn Usikae kushusha ukuu wa Bikra kwa mwanamke.
Mwanamke bikra ana heshima yake, nyie mnaoanza rafu mapema mnapoteza sifa ya kuwa mke bora, huwa mnaolewa kwa basi tu, mwanamke lazima ujitunze ili uheshimike, unakuwa na uwezo wa kumkaripia mwanaume kwa sababu amekukuta bikra.Watulie tu wasitupigie kelele humu na ubikira, bikira walizitoa wanaume wenzao sio Aliens!
Hakuna lolote uliloandika hapo kutetea mwanamke kushindwa kujitunza.Oa kwanza ukae kwe ndoa angalau miaka 5 ndo utajua nafasi ya bikra kwenye ndoa. Sasa hivi akili yako inawaza changamoto ya kugongewa mke tu ndo maana bikra kwako ni muhimu sana ila ukishakua na ndoa utagundua mengi kuhusu mwanamke, awe bikra au si bikra. Ukipata mtoto wa kike utagundua mengi zaidi kadri anavyokua.
Wacha maneno wewe, ni bora changamoto uzipate Kwa bikra kuliko Demu cha wote,Kwanza bikra akikusumbua ht haikeri sababu umemfungua mwenyewe [emoji16][emoji3]Oa kwanza ukae kwe ndoa angalau miaka 5 ndo utajua nafasi ya bikra kwenye ndoa. Sasa hivi akili yako inawaza changamoto ya kugongewa mke tu ndo maana bikra kwako ni muhimu sana ila ukishakua na ndoa utagundua mengi kuhusu mwanamke, awe bikra au si bikra. Ukipata mtoto wa kike utagundua mengi zaidi kadri anavyokua.
We kama upo kwe ndoa waambie watoto ukweli kuwa bikra si kufuli la kutokugongewa na waache woga. Sijamtisha mtu, nimesapoti point ya mleta mada juu ya woga.Hakuna lolote uliloandika hapo kutetea mwanamke kushindwa kujitunza.
Kuna wakati nawalaumu zaidi wanawake kwa kuzichochea tamaa za wanaume so ndio maana naamini Mwenye jukumu la kujitunza zaidi Ni mwanamke.
Acha kutisha ambao hawajaoa.. tumekaa kwenye ndoa zaidi ya ten years hii mikwara unayoitoa hapa haipo.
Matamanio ya kila mzazi kwa mtoto wake wa kike Ni kumuona anajitunza mpaka kuolewa. Haya Ni matamanio ya kila mzazi hata mzazi huyo awe Malaya vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukiwa na maumbile mapana je? Unapata confidence?Vibamia ndio hawanaga confidence na maumbo yao ndio maana wanakwepa wanawake.
..by the way huitaji kuwekewa mkwichi kufikishwa kileleni, mapenzi ni Art ndugu, and second sio vibamia per se bali ni CONFIDENCE issues.
Kama una kibamia mara nyingi confidence inakua ndogo.
Lastly i think una kibamia too..lol...haiwezekani ume pick hio point ya vibamia ukaacha the rest, 😅😅😅
Mkuu hayo maneno ya kuudhi☝Usijidanganye mkuu,wakwanza kuingiza mchi na kutoa damu anabaki na heshima yake tu,subiri mkeo akutane na aliyemmwaga damu kama kapotezana nae alafu utuletee mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana boss, nilichoandika hakina uhusiano na mama watoto wangu.Hayo yanajulikana mkuu,changamoto ni nyingi,point hapa ni bikra tu,au ulioa demu masela washatifua sana?
Sent using Jamii Forums mobile app