Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

Kwenye ile adhabu ya watazaa kw uchungu pameongezewa watalea kwa uchungu
 
πŸͺ“πŸͺ“πŸͺ“πŸͺ“πŸͺ“
 
Wewe hujawahi kutegeshewa mimba makusudi na mwanamke ndo maana unasema hivyo
 
Mtoto anafanywa kama mtaji wa kumkomoa mwanaume, mimi utaondoka Mama, mtoto anabaki.
 
Mkuu.... hakunaga mtego wa mimba, lakini kusingiziwa mimba kupo
Mtego wa mimba upo mkuu, hasa ukiwa wewe ndo mwanaume wa ndoto zake, alafu uyo mwanamke awe si mwanamke wa ndoto zako, anakuwahi kwa kukutegea mimba, akiamini kuwa atakufunga kwa kutumia mtoto, sasa kumbe wanajidanganya maskini, mwanaume afungwi kwa kutumia mtoto, Hii ni moja ya sababu kubwa katika nyingi inayopelekea wanawake wengi kulea watoto peke yao.
 
Mabinti wa kibongo hovyo sana yupo tayari kumuacha mwanaume aliyemzalisha eti kisa amecheat na mwanamke mwingine ili akadange na wanaume wengi ili alee mtoto. Huu ni ujinga wao acha wavune wanachopanda.
 
Tuache kuchezea mabinti Kama hatuna malengo nao!
Na wao waache kutegesha na kugawa gawa hovyo. Waulize wanaume zao, upo tayari kuwa na mtoto? Sio unatanua tu miguu halafu baadae unasema usimwage ndani nipo kwenye hatari.
WANAWAKE WAACHE UMALAYA NAO.

Halafu Wapo ambao mimba inampa kazi kuitambua kuwa ni ya nani. In one week katembea na watu watatu

NB: HII SI SABABU YA KUTELEKEZA MTOTO WAKO.
 
Kama sio wa ndoto yako, kwanibi umkaze peku na ukingali unajua mtego wa mimba upo..πŸ€”πŸ€”
Mkuu penzini kuna mambo mengi sana, mtatumia condom siku ya kwanza ya pili ya tatu hamtotumia kwa madai ya kuaminiana na mmeishi kwa uaminifu kwa kipindi kirefu... Bro iyo ukubali ukatae ipo, hamtotumia tena condom kwa siku zinazoendelea, na ni kweli mabalaa ndo yanaanziaga apo.. Mara UTI sugu, mara gono, mara mimba... Shida tupu
 
Tatizo Hawa dada zetu huwa wanaingia kwenye mahusiano kichwa kichwa bila ya kuwa na akili hata kidogo.

Mtu ndo kwanza mmejuana ndani ya siku kumi tu afu unakubali kumpa utelezi Tena anakula peku kbsa na unamruhusu anamwagia ndani kbsa na mimba inatungwa.

Kumbe jamaa Ni deadbeat father huwa anatungisha mimba na kukimbia majukumu ya kulea.Halafu Hana kipato Cha kueleweka anaishi tu kwa kuunga unga.

Nachojaribu kusema ni wadada wawe wanawafanyia wanaume wao visibility tests & risk taking kabla hawajakubali kushika mimba zao ili kupunguza wimbi la single moms mitaani.
 
Kama sio wa ndoto yako, kwanibi umkaze peku na ukingali unajua mtego wa mimba upo..πŸ€”πŸ€”
Ni kweli. Unapaswa kuwa makini. Ila pia tukumbuke akili ya mwanaume inavyofanya kazi akishaona utupu. Inarudi almost zero, ukishamaliza ndo akili inarudi.

Ni jukumu la mwanamke pia kuwa wazi kuhusu mipango yake ya uzazi kabla hajafika eneo la tukio ili mwenzake ajiandae na KUKATAA KATA KATA kuingia kwenye himaya ya mwanaume akiwa kwenye siku za hatari na hakuna protection. Jamani, kina dada wapunguze kuwa warahisi kutumika.

Unakuta mtu kazalishwa mimba 3 unawaza huyu hajifunzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…